Jpinduzi
Senior Member
- Feb 26, 2011
- 136
- 68
Kwa wale wanaotegemea kufanya mitihani ya ACCA june!ipo web very simple ambayo unaweza kupata material kiurahisi na hivyo kufanya kazi ya kukamua iwe easy!kwa kila notes(kitabu)kinauzwa pound 3 sawa na kama elfu 6 na ushee hivi!unaweza kukipata online kupitia web ACCA Exam & Revision Course, ACCA Study Books, ACCA Exam Course