Mau Senior Member Apr 8, 2009 176 10 Feb 27, 2012 #1 Wakuu wa jf naombeni msaada wenu, nahitaji AC mpya ambayo ni less expensive zaidi ya zote sokoni
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,785 441 Feb 28, 2012 #2 chini ya sh ngapi? na ukubwa kiasi gani?
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 781 Feb 28, 2012 #3 Iyokopokomayoko said: chini ya sh ngapi? na ukubwa kiasi gani? Click to expand... Amekwambia ya bei rahisi kuliko zote!!
Iyokopokomayoko said: chini ya sh ngapi? na ukubwa kiasi gani? Click to expand... Amekwambia ya bei rahisi kuliko zote!!
J jubilant JF-Expert Member Feb 16, 2009 305 306 Feb 28, 2012 #4 Niko na Sanyo AC original split unit 1.5Hp nimeitumia kidogo nilikuwa naishi mjini ila sasa niko nje ya mji baridi sihitaji ac ni pm tuwasiliane
Niko na Sanyo AC original split unit 1.5Hp nimeitumia kidogo nilikuwa naishi mjini ila sasa niko nje ya mji baridi sihitaji ac ni pm tuwasiliane