Ac (wall unit) & office furnitures for sale

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Wadau kuna air condtion za kizamani(wall unit) zinauzwa,ziko katika hali nzuri na zinafanya kazi,pia kuna office furniture kama vile meza kubwa(chinese) ,executive chairs na office chairs..bei ni poa sana,nimeamua kuuza kwa vile nimeamua kufunga office yangu Dar na ninahamia mkoani contacts:0755646049,0784670026
 
Tumechoka kila siku kuwaambia mtaje bei,mbona namba za simu mnaweka bila kukumbushwa,pia ulitakiwa uweke na picha sababu hizo fenicha tofauti na simu au computer hazina model,weka picha weka bei watu watamani ,wajisachi mfukoni kaka
 
Back
Top Bottom