Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
- Thread starter
- #21
Ishu ni kuwa kama manchester utd watatumia mfumo wao wa spidi na counter attack basi wanaweza wakatusumbua sana Milan.
Lakini pia milan tulifahamu tatizo la kutokuwa na spidi, ndo maana kuna watu mabingwa wa kupoza mpira.
Miongoni mwao ni Andreas Pirlo na Uncle seedorf.
Forza Milan
Lakini pia milan tulifahamu tatizo la kutokuwa na spidi, ndo maana kuna watu mabingwa wa kupoza mpira.
Miongoni mwao ni Andreas Pirlo na Uncle seedorf.
Forza Milan