Abubakari shekau yuko hai

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,251
5,322
Wakuu leo katika pitapita zangu kwenye vyombo vya habari nimekutana na hii,kiongozi wa kundi la boko haramu yuko hai,ameonekana katika mkanda wa video ambao unaonesha mpaka tarehe ambayo amerikodi ni tar25,katika maongezi yake amewataka watu kupuuza taarifa kua ameuawa,na kusisitiza yeye ni mzima wa afya,ni majuzi tu serikali ya Nigeria imetoa taarifa za kuuwawa kwa huyo jamaa,hatari sana hii(in kipozeo voice),tusishangae tukaja ambiwa na Osama yu hai.
 
ziliwahi kutolewa clips za osama kuwa yu hai ila sijui ziliishia wapi
 
Back
Top Bottom