Abroad sponsorship

SIR.NOM

Member
Sep 8, 2012
78
24
Naomba kujua et iv kupata sponsorship za hii serikali yetu kwenda kusoma NCHI ZA NJE-km vle kusomea udaktari India labda,huwa,mtu anazipata kwa kuzingatia vigezo gani,na utaratbu wa kutolewa hzo sponsorship na serikali yetu uko vp?
 
Serikali ya Tanzania haitoi "Scholarship" kwenda kusoma India ila serikali ya India inatoa "scholarship" ya masomo mengine na sio udaktari..kama unataka scholarship ya kusoma udaktaru jaribu China na Urusi na hizo nafasi huwa zinatangazwa na wizara ya elimu na hao ndiyo wanao shughulika na kila kitu.
 
Zamani mchakato ulikua wazi pale wizarani ila nw days ni nani kakusukuma hata kama huna vigrzo dhidi ya washindani wenzako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom