About doctor of medicine

Mfukunyuzi

Senior Member
May 30, 2012
125
9
JF members I would like to know if there is any probability for a CBG student to go for further studies in the field of Doctor for medicine. Your comment will be appreciated.
 
Recquirements for admission into Doctor of Medicine ni principal pass in bios. Pia subsidiary in A level phy or credit in O level Phy. Kama ulipiga phy vizuri o level then una sifa.
 
CBG haiwezekani, labda usome physics kwa hii likizo na uifanyie mtihani wa NECTA. Nenda environmental health pale Muhas wanafundisha na kwa hiyo uko eligible.
 
Jifunze kuandika kwanza vizuri sio wote ni watoto alaaaa!!

acha shobo ki2 ambacho kimeulizwa kinaeleweka so acha upompipompi kwenye maelezo apo ni writing mistake 2' instead of writing doctor of medicine nikaandika doctor for medicine' that z the minor mistake, co nafikiri ujumbe umeelewa jibu kilichoulizwa co kuanza kuleta malumbano ambayo sio ya msingi, try 2 be a great thinker
 
[h=3]4.1 ADMISSION REQUIREMENTS FOR MD PROGRAMME[/h][h=3]4.1.1 Direct entrants[/h]Principal pass at C grade or higher in Chemistry or Biology/Zoology or Physics/Mathematics provided the other two subjects are not below D at “A” level. Preference will be given to applicants with credit passes (“C” or above) in Chemistry or Biology in that order.

Candidates with E in Physics/Mathematics at “A” level provided they have “C” or higher in Chemistry and/or Biology.

Candidates with D in Physics/Mathematics, Chemistry and Biology at “A” level provided they have at least a credit pass in Chemistry and or Biology at “O” level.

4.1.2 Equivalent qualifications
4.1.2.1 Appropriate Diploma/Certificate/degree with principal passes at D grade or higher in Physics, Chemistry and Biology at “A” level of education.
4.1.2.2 Holders of B.Sc./B.A. degree majoring in Physics, Chemistry and Biology/Zoology.
 
Huwezi kupata admission kwa MD course kama haujasoma physics o level na a level. Na kwa ujumla course zote za udaktari kwa degree level lazima ue umesoma PCB hapa nchini. Waweza soma kozi zingn kama environmental health sciences. Karibu sana muhas.
 
hii ni ya chuo gani mkuu vp m2 ukwa na dde waweza pata hyo kozi mkuu

Hili swali tushalijibu mkuu...kwa tanzania bila physics husomi medicine,sifahamu kuhusu vyuo binafsi...halafu pili kwa hizo maksi zako hufai udaktari mkuu hata kama ingekua pcb...labda ubwana afya...mimi nilisoma cbg na nilipata div 1 ila sikupata hiyo nafasi...nikatafuta skolaship nikasepa bongo...mwaka wa tano sasa medicine kwa watu...
 
hapo haiwezekani,ulitakiwa kwanza usiwe na somo lolote below d advance na below c o-level.

dogo mbishi...vijana cku hizi utozi mwingi halafu wanataka mambo kirahisi...kwanza combination sio halafu maksi hazijatosha...
 
Hili swali tushalijibu mkuu...kwa tanzania bila physics husomi medicine,sifahamu kuhusu vyuo binafsi...halafu pili kwa hizo maksi zako hufai udaktari mkuu hata kama ingekua pcb...labda ubwana afya...mimi nilisoma cbg na nilipata div 1 ila sikupata hiyo nafasi...nikatafuta skolaship nikasepa bongo...mwaka wa tano sasa medicine kwa watu...

Mkubwa jiandae na zengwe toka MCT kama umeplan kuwa mzalendo wa kututibu wadanganyika!!
 
Mkubwa jiandae na zengwe toka MCT kama umeplan kuwa mzalendo wa kututibu wadanganyika!!

kuna daktari yuko muhimbili alifanya cbg na kasoma ninaposoma mimi sasa hivi....haina chenga mkuu najua nini nafanya...pili sina mpango wa kurudi nije ning'olewe meno na kucha kwa plaizi kwa malipo ya laki 9...pamoja!
 
Hili swali tushalijibu mkuu...kwa tanzania bila physics husomi medicine,sifahamu kuhusu vyuo binafsi...halafu pili kwa hizo maksi zako hufai udaktari mkuu hata kama ingekua pcb...labda ubwana afya...mimi nilisoma cbg na nilipata div 1 ila sikupata hiyo nafasi...nikatafuta skolaship nikasepa bongo...mwaka wa tano sasa medicine kwa watu...

me nimesoma pcb sio cbg mkubwa, alafu mbona kwa chuo kama kcmc na udom wanataka kuanzia point 5 mkuu, afu kuna chuo kama hubert kairuki wanachukua 2 principal pass and with atotal of 4.5 point
 
me nimesoma pcb sio cbg mkubwa, alafu mbona kwa chuo kama kcmc na udom wanataka kuanzia point 5 mkuu, afu kuna chuo kama hubert kairuki wanachukua 2 principal pass and with atotal of 4.5 point

habari za cbg umezileta mwenyewe mkuu...nikakujibu kuwa haiwezekani...kcmc na hizo points sijui kwa kweli kiwango cha competition sasa hv ila kipindi chetu maksi hizo ilikuwa ualimu nakumbuka jamaa yangu alipata hivyo na alikuwa pcb alienda ualimu...kama umeamua basi pigana bila kuchoka utafanikiwa...good luck
 
poa poa mkuu
 
Back
Top Bottom