About Condoms: Pope Benedict's statement contrary to Mzee Mwinyis'

Hivi wakuu ni sahihi nikisema "waislamu waache kupiga viongozi wa nchi" simply because Said kampiga mzee Mwinyi?

Na waIslam tukisema ''viongozi waache kuongea upuuzi wanapokuwa na waIslam''. tunakosea?
 
condom condom hii ni biashara ya watu ni sawa na ARV ambazo zote ni biashara za watu,solution ya aids ni watu kubadili tabia,tangu condom inatumika ni watu wangapi wamepata ukimwi? na ni wangapi hajapata?dini zimshindwa kuleta mabadiliko yeyote yale kwa hili kwa sababu hawana jipya,wao walitakiwa wa buni mbinu mpya ya kupambana na ukimwi na kuacha ya wana dunia ya condom,
 
Kwani amekosea aliposema hao jamaa wanalawiti watoto? kwani uongo?

Baadhi ya masheikh nao wanalawiti, baadhi ya wazazi wanalawiti, baadhi ya waleta kondomu wanalawiti na hata wanasiasa! Kwa hiyo, mwenye moral authority atakuwa nani? Wewe? Pengine hata wewe unalawiti!
 
Not at all! It is elementary probability that if there is a 95% chance that something will not occur in one repetition of an experiment, then 10 independent repetitions of it will lower the chance that the event will not occur at least once down to 60%. Twenty repetitions will lower that further to only 36% And fifty repetitions will bring it down to a lousy 7.6% !

This is not rocket science. Did you not learn this elementary probability when you were in high school?

If you want to bury your head in the sand and insist that condoms will save you, then go ahead! You are sure to be infected that way!

That is exactly the problem, you are using elementary probability to explain a complex problem. You are asuming that all of the events are exactly the same i.e failed condom with a HIV positive partner, but that is clearly not the case, only some of the condoms will fail and only some of your partners will be HIV positive, bringing the probability down substantial.

Did you see the study I posted about the mixed status couples i.e one is HIV positive and another is negative? Not a single one got infected! Clearly your probabilities do not apply the way you think they do.
 
Mkuu kule visiwani wajumbe wa uwakilishi wakitetea serikali yao husema "naunga mkono mia kwa mia" na mimi nakuunga mkono kwa dizaini ya CCM 100 kwa 100.
Ashakum maneno si matusi hivyo hiyo kondom huwa inaziba hadi juu kabisa ya u u me?. Tusidanganyane tumeshatumia hizo kondom na nyakati nyengine kazi ikiwa pevu ukimaliza inabidi uuitafute ndani ya u c h i wa mwanamke.
Najuwa wako watakaosema kuwa labda hizo kondom hazina kiwango na iwe hivyo lakini katika biashara hizi za udanganyifu na mtu asiejuwa kitu akishaambiwa na Rais wake mstaafu, muislamu mwenye maadili kuwa kondom ni suluhisho la kufanya zina, nini unategemea? tutakufa lakini nakumbuka ile stori ya mlevi aliepita msikitini akakuta shehe anatowa mawaidha na akasema
"watishe hao!" Ni bora hivyo kuliko alivyofanya mzee wetu.

Exactly, mkuu! Kama ningeendekeza matumizi ya kondomu ningekuwa nimeshashika udongo (kufa). Mimi ilinitokea mara 3 hivi. Mara ya kwanza niliitafuta kama ulivyosema na nilidhani kama imebaki ndani lazima mwenzangu apate 'operation' ili kuitoa. Lakini kwa bahati nzuri tuliikuta ikiwa kitandani.

Mara ya pili nilikuta kule mbele ilikuwa wazi (imeshatoboka) na mara ya tatu ilibidi itafutwe pia. Sasa katika mazingira kama haya (na huu ni mfano mmoja tu) mtu eti apigie debe matumizi ya kondomu kwamba inatoa kinga ya Aids?

Baada ya mara hizo tatu siwezi kumshauri mtu eti kondomu inazuia ukimwi. Hapo ni kusema uongo. Lazima tufike mahali tukubali kwamba kupambana na ukimwi ni kupiga vita 'irresponsible sexual behaviour'. Kwa nini tuendekeze mazoea mabaya yanayotuingiza kwenye mauti?

Ila kitu ambacho naweza kukubali ni kwamba: kama mtu amepanga kuzini leo na anaweza kuzini akiwa na kondomu au hapana basi ni vizuri kuliko kuzini bila kondomu aivae 'in case kiweza kumsaidia asiambukizwe'. Lakini nje ya mazingira kama haya ni heri mtu awe mwaminifu 'piga-ua'.
 
Exactly, mkuu! Kama ningeendekeza matumizi ya kondomu ningekuwa nimeshashika udongo (kufa). Mimi ilinitokea mara 3 hivi. Mara ya kwanza niliitafuta kama ulivyosema na nilidhani kama imebaki ndani lazima mwenzangu apate 'operation' ili kuitoa. Lakini kwa bahati nzuri tuliikuta ikiwa kitandani.

Mara ya pili nilikuta kule mbele ilikuwa wazi (imeshatoboka) na mara ya tatu ilibidi itafutwe pia. Sasa katika mazingira kama haya (na huu ni mfano mmoja tu) mtu eti apigie debe matumizi ya kondomu kwamba inatoa kinga ya Aids?

Baada ya mara hizo tatu siwezi kumshauri mtu eti kondomu inazuia ukimwi. Hapo ni kusema uongo. Lazima tufike mahali tukubali kwamba kupambana na ukimwi ni kupiga vita 'irresponsible sexual behaviour'. Kwa nini tuendekeze mazoea mabaya yanayotuingiza kwenye mauti?

Ila kitu ambacho naweza kukubali ni kwamba: kama mtu amepanga kuzini leo na anaweza kuzini akiwa na kondomu au hapana basi ni vizuri kuliko kuzini bila kondomu aivae 'in case kiweza kumsaidia asiambukizwe'. Lakini nje ya mazingira kama haya ni heri mtu awe mwaminifu 'piga-ua'.

Kama inadondoka kila saa nadhani utakua unatumia Condom size sio yako, jaribu kufanya experimentation na different sizes.
 
wandugu back to the mada ukweli ni kwamba sayansi huwa haikubaliana na imani.condom inazuia maambukizi ya ukimwi na alilofanya Mzee Mwinyi ni jambo jema kabisa isipokuwa hakuwa katika sehemu muafaka.Hizi propaganda za kusema condom haizuii ukimwi hazina scientific proof yoyote.Wanaposema condom inazuia ukimwi kwa 95% kwa mfano manake yake ni kwamba ile 5% inaweza kuwa kwa sababu condom haikuvaliwa vizuri ama imekwisha muda wake na siyo kwamba etu condom ina vitundu kwa mbele wadudu wanaweza kupita.Kwahiyo ukipata condom ambayo ni ya quality nzuri na ikatumika vizuri basi hakutakuwa na maambukizi ya ukimwi.
Viongozi wa dini wanataka kuigeuza vita ya ukimwi kuwa ya kiimani tu kitu ambacho hakitakaa kiwezekane kamwe.Wao waendelee na kazi yao nzuri ya ku promote sexual abstinence kwa waumini wao na wawaache wanaharakati wengine waendelee kuuza sera ya condom.
Waache unafiki kwa sababu wanajua kabisa wao wenyewe ni wadhaifu kama binadamu wengine pia ambao mwisho wa siku ya ibada wanajikuta wanaangukia kwenye uovu wa zinaa.Sasa kipi bora:waumini waendelee kufa kwa ukimwi kwa sababu wamekatazwa kutumia condom au watumie condom na mwisho wa siku wanaweza kutubu na kuokolewa na Mungu wao?
Umeshaivaa hiyo kondom na zile za salama zina kipimo kama urefu wa suruali?
Endeleeni kutumia hizo kondom na mtaona matokeo yake.
 
I was just laughing at the irony about Mwinyi and Pope Benedict a few minutes ago. Imagine! Will we ever get the best solution to this problem?
16_03_2009_022_003.jpg

- The Solution is and will always be = Abstinence
 
Mkuu Mkandara sawa Mwinyi alichemsha kwa kuwa haikuwa mahala pake.Lakini hii haimkatazi Mwinyi akiwa sehemu muafaka kuuza sera ya condom.

NI kweli kuwa Mzee ana uhuru wa kusema lakini mipaka inamzuia ni sawa sawa na Bungeni kuingia na Tshirt. Sijui nyie mnaofuata maadili yaliyowekwa na wanadamu wenzenu na kudharau ya mwenyezi Mungu mnajiweka katika kundi gani?
Uislamu uko wazi kwa suala hili na Ukiristo tumeshaona na maneno ya kiongozi wa juu kabisa, kuwa hakuna compromise na Zinaa. Sasa mtu binafsi kwenda kinyume na maamrisho atakuwa mkosa na la Busara ni kuungama makosa na kuomba msamaha kwa mola wako IWAPO KWELI UNAMUAMINI kwani ukishafukiwa tu umaarufu na Urais na uzalendo vyote si issue , issue wewe na mola wako.
 
By Roland S. Martin
CNN Contributor

Editor's note: A nationally syndicated columnist, Roland S. Martin is the author of "Listening to the Spirit Within: 50 Perspectives on Faith" and "Speak, Brother! A Black Man's View of America." Visit his Web site for more information.

art.new.roland.cnn.jpg

Roland S. Martin says the Catholic Church's opposition to condoms is increasing the toll of HIV/AIDS.​

(CNN) -- The African-American religious community deserves considerable praise for taking leadership of the civil rights movement during the first half of the 20th century.

But there is no doubt that toward the end of the 20th century, the black church, primarily because of its opposition to homosexuality, has abdicated its responsibility and totally disregarded the human toll that HIV/AIDS has had on the members it largely serves. It only has been recently that pastors have opted not to turn a blind eye to what is clearly a state of emergency.

Unfortunately, we are seeing the same kind of ignorance of reality from the Catholic Church and its leader, Pope Benedict XVI.

The church has long been opposed to the use of condoms and other forms of birth control because it strongly believes the only purpose for sex is procreation. But for the church to continue to ignore the definitive research that condoms play a huge role in decreasing the spread of HIV/AIDS and other sexually transmitted diseases is mind-boggling.

Pope Benedict is in Africa this week on a six-day tour, his first since his ascension to the papacy, and he made some remarks that have sparked outrage in the motherland, where Catholicism is spreading like wildfire.

In response to written questions from reporters, the pope said this about HIV/AIDS: "You can't resolve it with the distribution of condoms. On the contrary, it increases the problem."

He is absolutely correct that condoms are not the solution to stopping the spread of HIV/AIDS. He is also 100 percent correct that the only surefire way of stopping HIV/AIDS, when it comes to sex, is to practice abstinence. That is clearly within the teachings of the Bible and the Catholic Church, and he will find no disagreement from me.

Now the reality.

People are having sex. Catholics are having sex. Heck, some Catholic priests have abandoned their oath and have had sex.

As a layman and the husband of a pastor, I know the difference between utopia and reality, and it is the responsibility of the faith community to deal with the real world.

And frankly, Pope Benedict clearly shows he doesn't get it.

What we need today are our church leaders preaching, teaching and imploring their members not to go to bed with anyone and everyone. We also need church leaders who are willing to stand up and tell folks that if they do choose to sin -- that's what the church and other faith leaders consider sex outside of marriage -- then you had better take the necessary precautions to protect yourself.

Folks, there is nothing in the Bible about wearing a seat belt. But it would be foolish of any pastor not to tell his or her members to use the safety device when driving. Churches all across the country trust and love their fellow members, but you can bet that an accountant is employed by many churches to ensure that no one is stealing the tithes and offerings.

Pope Benedict surely loves God and sees him as his protector and provider, but he goes nowhere without armed bodyguards. The pope has to know that murder is against God's will. He has to believe that every person has the choice to be a moral and upstanding person. Yet not everyone abides by those religious views, and his security is there to prevent him from being harmed.

So how are condoms any different?

While Catholicism expands on the continent of Africa, we are seeing the expansion of HIV/AIDS as well. Sub-Saharan Africa has 22 million people infected with HIV.

The refusal of the Catholic Church and other religious denominations to accept the reality of the situation on the ground is doing nothing for the issue. If the church used its powerful voice -- while continuing to speak out against sex outside of marriage -- to also implore people to practice safe sex, it could have a major impact on slowing the spread of the disease.

This is one time where silence is not golden.

The opinions expressed in this commentary are solely those of Roland S. Martin.
 
Hapa tuache ngono tu na kuwa waaminifu,na hizo condom hazisaidii chochote,ni kufarijiana na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi. Dawa ni kuacha ngono,na kuwa na mpenzi mmoja ila mwaminifu na hii ni kutokana na sala.
 
Nyie mnaopinga matumizi ya condom, ni kweli haizuii kwa asilimia100, lakini ndiyo solution ya watu wa 'dunia hii' mnaposema watu wasifanye ngono, ni kujidanganya, au kwa maana nyingine inabidi kuwahamasisha watu wafuate dini! wangapi kati yenu mnahubiri injili?? na kumfuata Yesu??

Maana in concept Jesus died kuchukua udhaifu wetu huu, lakini leo hatumtaki!

Tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii??
 
Watanzania wenzangu kama tutaendelea kujidanganya kuwa haiwezekani kuacha ngono tutakwisha. Huu wimbo wa condom umeanza muda mrefu, mbona hali haibadiliki?

Mwaka jana nilipata bahati ya kukaa kwa miezi kadhaa katika nchi moja ya kiarabu, kitu kikubwa nilichojifunza ni displine katika mahusiano. Wenzetu wana displine ya ajabu hasa wanapokuwa hawajaoa au kuolewa. Ndio, wanasema msingi mkubwa ni maongozi ya dini yao. Lakini nilichojifunza ni kuwa inawezekana kijana kusubiri, na kama inawezekana kijana kusubuiri inawezekana pia baba/mama kujiheshimu. Kwao hutaona tangazo la condom na ukimwi kwao ni hadithi wanayoisikia kwenye vyombo vya habari.
Tuyapende maneno ya Pope tusiyapende, hilo ndio jibu la uhakika kwa uhai wa kizazi chetu. Yeye kama mtumishi wa Mungu anasimamia agizo la Mungu lisemalo usizini, na bahati mbaya agizo la Mungu ni agizo tu kama utalipenda au la litabaki kuwa agizo. Usalama wetu na wa taifa letu ni pale tutakapolishika agizo hili, Mungu aliagiza kwa kuwa anajua inawezekana.
Vinginevyo tutakwisha!
 
Hapa tuache ngono tu na kuwa waaminifu,na hizo condom hazisaidii chochote,ni kufarijiana na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi. Dawa ni kuacha ngono,na kuwa na mpenzi mmoja ila mwaminifu na hii ni kutokana na sala.

Yes kuwa mwaminifu ndiyo njia pekee lakini hebu tuende mbele kidogo utakuwaje mwaminifu? yaana ni kufumba na kufumbua tu umekuwa mwaminifu! hapana ni lazima kuwe na nguvu fulani inayokufanya uwe mwaminifu,, ni lazima tuamini kuwa ipo nguvu kuu iliyo juu yetu (Mungu) ambayo hata ukiwa peke yako chumbani inakuona,, unayowaza anayajua,, na unalotaka kutenda analijua,, ujanja unaotaka kuufanya kusaini mkataba wa 10% anauona,, nk

vinginevyo watu wa Mungu uaminifu hauwezi kuja hivi hivi kwa kuamua mimi leo niwe mwaminifu. Uaminifu lazima uwe na base si kitu cha mchezo.

Tukijiuliza mbona Lowasa, Mkapa, Rostam, Chenge na wengine wanaenda kanisani au msikitini lakini hawana uaminifu? jawabu ni kuwa kanisani au msikitini si sehemu ya hatua moja ya kuutafuta uaminifu na si ndiyo umefikia uaminifu.

Ni lazima kuamini ya kuwa yupo Mungu anakuona,, anachukia matendo mabaya,, lasivyo uaminifu kwa mpenzi mmoja utausikia tu.

Ukisoma ufunuo wa Yohana utakundua ya kuwa siku hizo zinakuja nazo zaja tauni itaruhusiwa duniani (Tauni ni magonjwa yasiyo na tiba na hata ikipatikana inakuwa tayari tauni nyingine inaingia).

Tweni Waaminifu na tuwe na base ya uaminifu wetu hii itatusaidia siyo tu kupambana na ukimwi bali hata Ufisadi, Rushwa, uchoyo, ujambazi utaisha.
 
Why someone is listening to the Pope when it comes to scientific issue is utterly beyond me !
 
Editorial New York Times

Pope Benedict XVI has every right to express his opposition to the use of condoms on moral grounds, in accordance with the official stance of the Roman Catholic Church. But he deserves no credence when he distorts scientific findings about the value of condoms in slowing the spread of the AIDS virus.

Times Topics: Pope Benedict XVI | AIDS / H.I.V.As reported on Tuesday by journalists who accompanied the pope on his flight to Africa, Benedict said that distribution of condoms would not resolve the AIDS problem but, on the contrary, would aggravate or increase it. The first half of his statement is clearly right. Condoms alone won't stop the spread of H.I.V., the virus that causes AIDS. Campaigns to reduce the number of sexual partners, safer-sex practices and other programs are needed to bring the disease to heel.

But the second half of his statement is grievously wrong. There is no evidence that condom use is aggravating the epidemic and considerable evidence that condoms, though no panacea, can be helpful in many circumstances.

From an individual's point of view, condoms work very well in preventing transmission of the AIDS virus from infected to uninfected people. The Centers for Disease Control and Prevention cites "comprehensive and conclusive" evidence that latex condoms, when used consistently and correctly, are "highly effective" in preventing heterosexual transmission of the virus that causes AIDS. The most recent meta-analysis of the best studies, published by the respected Cochrane Collaboration, concluded that condoms can reduce the transmission of the AIDS virus by 80 percent.

However, both groups warned that condom use cannot provide absolute protection. Condoms sometimes break, slip or are put on incorrectly. The best way to avoid transmission of the virus is to abstain from sexual intercourse or have a long-term mutually monogamous relationship with an uninfected person.

From a national perspective, condom promotion has been effective in slowing epidemics in several countries among high-risk groups, such as sex workers and their customers, but less effective in slowing epidemics that have spread into the general population, as in much of sub-Saharan Africa. That is probably because far too few people use condoms consistently and correctly.

Even so, health authorities consider condoms a valuable component of any well-rounded program to prevent the spread of AIDS. It seems irresponsible to blame condoms for making the epidemic worse.
 
Ngoma iko hapa, (using condoms consistently and correctly) ni kweli kisayansi condom inaweza kuzuia maambukizi japo si kwa asilimia mia. Unapowashawishi vijana watumie condom unawakaribisha kwenye utamu wa ngono na huna guarantee kuwa watatumia condom consitently and correctly. Tatizo ni kuwa watumiaji wengi wa condom hawako consistent na hii inadhihirishwa na ongezeko la ukimwi. watu wengi walioambukizwa ukimwi ukiwauliza utakuta walishawahi kutumia condom wakati fulani. Tatizo la ukimwi ni pana zaidi ya mpira wa latex na kuacha ngono. tunatakiwa tuangalie mbali zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom