Abou Semuhando Afariki dunia

Tores

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
551
475
habari za kuaminika nimezipata kua aliyekua mwanamziki wa siku nyingi Bwana Abou semhando amefariki leo asubuhi kwa ajali ya pikipiki.

pumzka mahala pema peponi!
 
DAH PIKIPIKI MJINI HAPA Jamani ni hatari ya Danger, alikuwa akiendesha pikipiki anatoka africana usiku anarudi nyumbani benzi ikamgonga kwa nyuma RIP Baba DIANA.
 
DAH PIKIPIKI MJINI HAPA Jamani ni hatari ya Danger, alikuwa akiendesha pikipiki anatoka africana usiku anarudi nyumbani benzi ikamgonga kwa nyuma RIP Baba DIANA.

Baada ya benz kumgonga na kusimama kutaka kutoa msaada wa kwanza pengine angepona...., ghafla zilitokea gari nyingine na kumgonga marehemu hivyo kufariki dunia. Inasikitisha saana. Mungu aipe nguvu familia ya marehemu na wafanyakazi wenzie.
RIP baba Diana.
 
Back
Top Bottom