Abood wamefika pabaya sasa...

DSC04709.JPG
DSC04709.JPG
 
DSC04707.JPG

Nangurukuru hapa..........!!mtwara dar masaa 7 tu!!msiogope wadau kurudi home
 
Siku nyingine ukipata kadhia hii piga simu namba 0754333110 kwa mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo utaona moto wake,hawa wapiga debe wasikusumbue wanafanya hivyo kwa maslahi yao,mwenyewe hapendi kabisa:embarassed2:
 
Pole mkubwa! Mie nilikutana na longolongo kama hiyo kwa basi la Hood, niliambiwa basi nitakaloondoka nalo ni Marcopolo, lakini kuingia ktk basi asubuhi nakuta ni scania moja chovu sana. Just imagine, nimeondoka Mwanjelwa Mbeya saa 1 asubuhi, naingia Dar saa 5 usiku. Noma sana. Ndo longolongo za mabasi yetu.
Safari njema
Pole na wewe kaka, dawa yao ni kujifungisha ndoa kwa kampuni moja ya kistaarabu. Kwa route ya kaskazini ni Dar Express, sijui huku kusini ni kampuni gani!
 
Pole sana msafiri. Ukweli ni kuwa Abood is more interested in safari za kuishia na kutoka Morogoro tuu, maana hapo anapata kura za ubunge. Ni mabasi hayohayo ya Dar Mbeya anatumia kusaidia misiba ya wapigakura wake
 
The truth is all Abood buses that go beyond Morogoro are not "Abood".
Kuna ndugu yangu aliwahi kupata kero hii kama 3yrs ago, tangu hapo nilielewa ki2 wafanyacho.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa hayo ni yale yaliyochoka ya Abood na kuuzwa kwa watu wanaoanza hiyo biz, so wanaomba kubakiza majina ili waweze kuuza. Kwakuwa yote huwa ni mabovu na huduma ni poor.

I see a point here bob.. Kwani hata hawa makonda hawana ubinadamu hata kidogo, wanajibu kwa ukali tofauti na Abood niliowazoea, halafu spidi ni kubwa tofauti na sera za kampuni. Pia sioni zile namba za simu nyuma ya dereva ambazo mambo yakiwa sio unapiga kwao ofisini.
 
Pole mkuu, vumilia utafika, then ukirudi jaribu kuchukua hatua kukomesha utapeli huo kwa kuzingatia haki ya abiria na wajibu wa Mtoa HUDUMA (KAMPUNI) . Please you have to take action.

Action inataka umoja kaka. Mfano humu kwenye gari nimemkoromea konda kwa huu upuuzi, cha ajabu ni kuwa abiria wote wamekimya, utadhani nimekwazika peke yangu bwana!
 
Siku nyingine ukipata kadhia hii piga simu namba 0754333110 kwa mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo utaona moto wake,hawa wapiga debe wasikusumbue wanafanya hivyo kwa maslahi yao,mwenyewe hapendi kabisa:embarassed2:

Nashukuru kwa msaada wako wa kiintelijensia kaka... Ngoja nitulie niuwashe kisawasawa!
 
Wadau naomba nilifikishe kwenu hili.
Juzi nilikata tiketi ya basi kuelekea Mbeya, mimi sikuwahi kufika huko kabla, pamoja na kutokuwa na uzoefu na gari za Mbeya, sikupata tabu sana, nikafika ofisi za Abood Bus Service kwa kuwa huwa naamini huduma zao ambazo nimekuwa mtumiaji wazo wa mara kwa mara. Nilipati tiketi bila rabsha, tena kwa bei nafuu ya Tsh. 26000, nikarejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya safari ya leo. Leo alfajiri nilipofika Kituo cha Mabasi Ubungo nikaanza kuona viroja: Kwanza, nikakuta watu wakipigia debe usafiri wa Mbeya kwa basi la Abood, kitu ambacho si kawaida kwa kuwa hawa jamaa humaliza tiketi hata kabla ya siku ya safari. Pili, gari niliyoandikiwa sikuiona, nilipouliza nikaelekezwa kwenye gari tofauti na iliyoandikwa kwenye tiketi. Kwanza niligoma kuingia hadi nilipoenda kupata uthibitisho ofisini kwao. Kuingia kwenye hiyo gari, nikaikuta ni mbovu, yaani imechakaa halafu ni 3 kwa 2, na si 2 kwa 2 kama nilivyoelezwa siku ile ofisini kwao. Kilichonishangaza ni suala la kampuni kubwa kama hii, tena yenye kuheshimika katika uwanja wa usafiri kuanza uhuni wa kabila hii. Haya mambo nilizoea kuyaona kwenye mabasi ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Express... Hapa nipo ndani ya gari nasubiri safari ya masaa 13 kwenye gari lisilokidhi mahitaji ya msafiri. Naomba kuwasilisha wadau!
Mkuu hiyo safari ni moja kwa moja au utarudi tena mjini.... dah maana maisha ya hapa dar sii mchezo watu wanaukimbia mji kila kukicha
 
Pole mkubwa! Mie nilikutana na longolongo kama hiyo kwa basi la Hood, niliambiwa basi nitakaloondoka nalo ni Marcopolo, lakini kuingia ktk basi asubuhi nakuta ni scania moja chovu sana. Just imagine, nimeondoka Mwanjelwa Mbeya saa 1 asubuhi, naingia Dar saa 5 usiku. Noma sana. Ndo longolongo za mabasi yetu.
Safari njema
just kuuliza (curiosity) ulisharudi Mwanjelwa au bado upo dar....
 
Wadau naomba nilifikishe kwenu hili.
Juzi nilikata tiketi ya basi kuelekea Mbeya, mimi sikuwahi kufika huko kabla, pamoja na kutokuwa na uzoefu na gari za Mbeya, sikupata tabu sana, nikafika ofisi za Abood Bus Service kwa kuwa huwa naamini huduma zao ambazo nimekuwa mtumiaji wazo wa mara kwa mara. Nilipati tiketi bila rabsha, tena kwa bei nafuu ya Tsh. 26000, nikarejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya safari ya leo. Leo alfajiri nilipofika Kituo cha Mabasi Ubungo nikaanza kuona viroja: Kwanza, nikakuta watu wakipigia debe usafiri wa Mbeya kwa basi la Abood, kitu ambacho si kawaida kwa kuwa hawa jamaa humaliza tiketi hata kabla ya siku ya safari. Pili, gari niliyoandikiwa sikuiona, nilipouliza nikaelekezwa kwenye gari tofauti na iliyoandikwa kwenye tiketi. Kwanza niligoma kuingia hadi nilipoenda kupata uthibitisho ofisini kwao. Kuingia kwenye hiyo gari, nikaikuta ni mbovu, yaani imechakaa halafu ni 3 kwa 2, na si 2 kwa 2 kama nilivyoelezwa siku ile ofisini kwao. Kilichonishangaza ni suala la kampuni kubwa kama hii, tena yenye kuheshimika katika uwanja wa usafiri kuanza uhuni wa kabila hii. Haya mambo nilizoea kuyaona kwenye mabasi ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Express... Hapa nipo ndani ya gari nasubiri safari ya masaa 13 kwenye gari lisilokidhi mahitaji ya msafiri. Naomba kuwasilisha wadau!

pole sana bt abood za dar-morogoro ni tofauti sana na dar-mbeya, iringa na kwingineko. kama unaenda mororgoro panda abood bt kama unaenda sehemu nyingine dont try utajuta kupanda
 
Wadau naomba nilifikishe kwenu hili.
Juzi nilikata tiketi ya basi kuelekea Mbeya, mimi sikuwahi kufika huko kabla, pamoja na kutokuwa na uzoefu na gari za Mbeya, sikupata tabu sana, nikafika ofisi za Abood Bus Service kwa kuwa huwa naamini huduma zao ambazo nimekuwa mtumiaji wazo wa mara kwa mara. Nilipati tiketi bila rabsha, tena kwa bei nafuu ya Tsh. 26000, nikarejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya safari ya leo. Leo alfajiri nilipofika Kituo cha Mabasi Ubungo nikaanza kuona viroja: Kwanza, nikakuta watu wakipigia debe usafiri wa Mbeya kwa basi la Abood, kitu ambacho si kawaida kwa kuwa hawa jamaa humaliza tiketi hata kabla ya siku ya safari. Pili, gari niliyoandikiwa sikuiona, nilipouliza nikaelekezwa kwenye gari tofauti na iliyoandikwa kwenye tiketi. Kwanza niligoma kuingia hadi nilipoenda kupata uthibitisho ofisini kwao. Kuingia kwenye hiyo gari, nikaikuta ni mbovu, yaani imechakaa halafu ni 3 kwa 2, na si 2 kwa 2 kama nilivyoelezwa siku ile ofisini kwao. Kilichonishangaza ni suala la kampuni kubwa kama hii, tena yenye kuheshimika katika uwanja wa usafiri kuanza uhuni wa kabila hii. Haya mambo nilizoea kuyaona kwenye mabasi ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Express... Hapa nipo ndani ya gari nasubiri safari ya masaa 13 kwenye gari lisilokidhi mahitaji ya msafiri. Naomba kuwasilisha wadau!

pole sana mphamvu hayo yalinikuta juzi nikitoka dar na basi la abood. gari liliharibika mara tatu kabla ya kufika Mbeya saa tatu usiku. sijui jamaa baada ya kuchukua ubunge kaanza kiburi . nadhani wanatakiwa kujirekebisha otherwise watapoteza intergrity kwa jamii ya kitanzania
 
Nahisi Abood wanasufer matunda ya kuajiri kwa kuangalia mbari(race) badala ya vigezo. Wamekosa staff creative, wasioweza kutoa maoni yao. Mpaka bosi aseme, afu wao waseme 'no coment'
 
Back
Top Bottom