Abood unaaibisha sasa!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki.

Abood vipi tena, ina maana magari yako hauyafanyii matengenezo kabla yasafari. UNAABISHA, inakera sana.
 
Pole sana mkuu! Heri kuzima kuliko kupata ajali. Mkuu wewe ni mzaramo nini? Maana sisi wa bara huwa twaelekea makwetu.
 
Kuharibika kwa gari ni jambo la kawaida, ndo maana watangulizi walisema Usafiri Kafiri!
Ila najua una munkari kwasababu unataka kuungana na familia yako haraka iwezekanavyo!
Pole mkuu, vumilia, kama ankara inaruhusu badili usafiri!
 
mimi wa bara lakini familia ipo dar. Tumefanikiwa kupanda gari lingine, japo nalo lilikuwa limejaza. Yaani ni two in one.
 
Kuharibika kwa gari ni jambo la kawaida, ndo maana watangulizi walisema Usafiri Kafiri!
Ila najua una munkari kwasababu unataka kuungana na familia yako haraka iwezekanavyo!
Pole mkuu, vumilia, kama ankara inaruhusu badili usafiri!

mkuu nimekupata mkuu.

Nashukuru tayari tuweshaondoka na usafiri mwingine.
 
Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki.

Abood vipi tena, ina maana magari yako hauyafanyii matengenezo kabla yasafari. UNAABISHA, inakera sana.

nunua lako, kumbe na ubishi wote humu ndani huna ata vitz kwel magamba wanatumia cheap leba...
 
Yamkini unachozungumza ni kweli kwamba si kawaida kwa magari ya Abood kuzima hovyo hata mimi sija experience kabisa lakini inachotokea ni kwamba kwa wakati huu kuna kuzidiwa vs tamaa mbele thus wamiliki wengi hutoa hata mabasi yao ambayo hayajakuwa barabarani muda mrefu, nimeshuhudia Dar Express ambayi kwa tulioizoea hili basi nililoliona ni fasheni ya huenda 2005 hivi lakini kwa kuwa kuna vichwa vingi sasa hivi jamaa kaliibua. Well nadhani kichwa cha habari kimekuwa kikubwa kuliko mwili ndio maana wadau wengine wameshindwa kuvaa viatu vyako.
 
Mh hapa labda mnajuana wazee....si bado tunakula sikukuu kwa amani labda wenzetu mmemaliza
 
Back
Top Bottom