Abiria washushwa kwenye ndege ya precision air

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Unaweza hisi ni vituko lakini ndicho kinaendelea hivi sasa tatizo la ku overbook abiria linazidi kuwameza precissionair pale group la watu 48 liilipokata tkt na kuhakikishiwa safari ya Zanzibar matokeo yake leo wamekuta watu kadhaa wamepewa boarding pass ambao hawakuwepo kwenye list

Hivi sasa abiria 6 wamebaki walichoafanya ni kuwaambia wenzao sita wasimame na kushuka chini kwa habari zaidi tunaendelea kuwapa

Hili liwe fundisho kwa wenye tamaa kama hawa muweke wale waliolipa kwanza kunatabia cha hapa airport wafanyaakazi kupewa hela na kuchukua abiria tena wakisapotiwa na viongozi wao wa juu hili linafanya kutokuwa na maana ya kuwahi kufanya booking kwa nini wasifanye kama kalula air south mnakatia airport kabisa

Tunaitaji kuwepo na mashirika mengi ili urasimu kama huu uishe daima
 
Unaweza hisi ni vituko lakini ndicho kinaendelea hivi sasa tatizo la ku overbokk abiria linazidi kuwameza atcl pale group la watu 48 liilipokata tkt na kuhakikishiwa safari ya zanzibar matokeo yake leo wamekuta watu kadhaa wamepewa boarding pass amabao awakuwepo kwenye list

Hivi sasa abiria 6 wamebaki walichoafanya ni kuwaambia wenzao sita wasimame na kushuka chini kwa haabari zaidi tunaendelea kuwapa

hili liwe fundisho kwa wenye tamaa kama hawa muweke wale waliolipa kwanza kunatabia cha hapa airport wafanyaakazi kupewa hela na kuchukua abiria tena wakisapotiwa na viongozi wao wa juu hili linafanya kutokuwa na maana ya kuwahi kufanya booking kwa nini wasifanye kama kalula air south mnakatia airport kabisa

Tunaitaji kuwepo na mashirika mengi ili urasimu kama huu uishe daima

kuwa clear, ni shirika gani la ndege unaongelea!? (hapo kwenye redi na subject yako)
 
PDidy, Unakuwa na haraka mno ya kuwasilisha Breaking News uliyo nayo kiasi kwamba unakuwa hufuati kanuni za kawaida za maandishi na mwisho wake unaishia kuandika madudu. kwa mfano hapo juu, hebu rudia tena kuiandika pole pole ili tuelewe.
 
hkyanani sijaukelewa... Unaongea kiswahili kweli wewe?

namaanisha kuna abiria wameachwa kisa over booking wakiwa wamekata tkt kama group ndipo wenzao waliotanguliwa wakapigiwa simu akuna kuonddoka wasimame kwenye ndege washuke..mkojo ukawabana ndugu zetu..manager nona amekula matusi ya kutosha..akika aaka kamchezo mnaitajji kuacha wote wa airline kama ndege imejaa unaachia wanauza ya nini???kilichofanyika kuna watu ambao awakuwa na tkt ya ok wakaingizwa mwanzoni kivip m na wewe sijui..yawezekana kuna mtu doller zitamtokea puani leo...naona wameamua kuwapeleka kwenye vi chata kule term 1..polen sana ndio ukubwa precissionair
 
Tatizo la Tanzania is Customer Service always ni mbovu wanajali pesa kuliko kutoa service
 
Jamaa anaongea kiswahili kigumu mno. Au sio mtanzania?

Ameshindwa kabisa kuwasilisha maudhui ya mada. Kama Pididy hujaoa utapata shida sana kupata mchumba kwani huhitajika skills za kupanga hoja ili kumshawishi msichana kuwa you will be her long waited Mr. Right!!!!!!!!!!!!!
 
Unaweza hisi ni vituko lakini ndicho kinaendelea hivi sasa tatizo la ku overbokk abiria linazidi kuwameza precissionair pale group la watu 48 liilipokata tkt na kuhakikishiwa safari ya zanzibar matokeo yake leo wamekuta watu kadhaa wamepewa boarding pass amabao awakuwepo kwenye list

Hivi sasa abiria 6 wamebaki walichoafanya ni kuwaambia wenzao sita wasimame na kushuka chini kwa haabari zaidi tunaendelea kuwapa

hili liwe fundisho kwa wenye tamaa kama hawa muweke wale waliolipa kwanza kunatabia cha hapa airport wafanyaakazi kupewa hela na kuchukua abiria tena wakisapotiwa na viongozi wao wa juu hili linafanya kutokuwa na maana ya kuwahi kufanya booking kwa nini wasifanye kama kalula air south mnakatia airport kabisa

Tunaitaji kuwepo na mashirika mengi ili urasimu kama huu uishe daima
Eti ni graduate wa chuo kikuu anaandika utumbo wa bata kama huu......maneno, sentensi, story nzima bwahaaaaa. Kama kiswahili hukiwezi si utumie kiingereza? ohooo dear mwisho wa dunia waja!!!
 
PDidy, Unakuwa na haraka mno ya kuwasilisha Breaking News uliyo nayo kiasi kwamba unakuwa hufuati kanuni za kawaida za maandishi na mwisho wake unaishia kuandika madudu. kwa mfano hapo juu, hebu rudia tena kuiandika pole pole ili tuelewe.
Haa haa haaa...my God!!! Sarakasi tupu... mbavu sina!!! haya amerudia hapa chini, kazi kwako....
namaanisha kuna abiria wameachwa kisa over booking wakiwa wamekata tkt kama group ndipo wenzao waliotanguliwa wakapigiwa simu akuna kuonddoka wasimame kwenye ndege washuke..mkojo ukawabana ndugu zetu..manager nona amekula matusi ya kutosha..akika aaka kamchezo mnaitajji kuacha wote wa airline kama ndege imejaa unaachia wanauza ya nini???kilichofanyika kuna watu ambao awakuwa na tkt ya ok wakaingizwa mwanzoni kivip m na wewe sijui..yawezekana kuna mtu doller zitamtokea puani leo...naona wameamua kuwapeleka kwenye vi chata kule term 1..polen sana ndio ukubwa precissionair
 
namaanisha kuna abiria wameachwa kisa over booking wakiwa wamekata tkt kama group ndipo wenzao waliotanguliwa wakapigiwa simu akuna kuonddoka wasimame kwenye ndege washuke..mkojo ukawabana ndugu zetu..manager nona amekula matusi ya kutosha..akika aaka kamchezo mnaitajji kuacha wote wa airline kama ndege imejaa unaachia wanauza ya nini???kilichofanyika kuna watu ambao awakuwa na tkt ya ok wakaingizwa mwanzoni kivip m na wewe sijui..yawezekana kuna mtu doller zitamtokea puani leo...naona wameamua kuwapeleka kwenye vi chata kule term 1..polen sana ndio ukubwa precissionair
Pdidy hiyo hapo ndio picha yako? umepiga hatuwa lakini.
 
Nasikitika sana kwa kwani Pdidy alikuwa na hoja nzuri tu ila ameiharibu mwenyewe kwa papara za kutaka kuiwasilisha, ni muhimu sana kuzingatia kanunu za kiuandishi wakati tunapo wasilisha hoja zetu....Pole Sana Pdidy nadhani umejifunza na siku nyingie utajipanga vizuri, hii pia imewai kunikuta hivyo sikucheki sana! au wale jamaa pale nyuma ya Hospital ya Massana wamekukera na mihadhara yao?
 
Unaweza hisi ni vituko lakini ndicho kinaendelea hivi sasa tatizo la ku overbook abiria linazidi kuwameza precissionair pale group la watu 48 liilipokata tkt na kuhakikishiwa safari ya Zanzibar matokeo yake leo wamekuta watu kadhaa wamepewa boarding pass ambao hawakuwepo kwenye list

Hivi sasa abiria 6 wamebaki walichoafanya ni kuwaambia wenzao sita wasimame na kushuka chini kwa habari zaidi tunaendelea kuwapa

Hili liwe fundisho kwa wenye tamaa kama hawa muweke wale waliolipa kwanza kunatabia cha hapa airport wafanyaakazi kupewa hela na kuchukua abiria tena wakisapotiwa na viongozi wao wa juu hili linafanya kutokuwa na maana ya kuwahi kufanya booking kwa nini wasifanye kama kalula air south mnakatia airport kabisa

Tunaitaji kuwepo na mashirika mengi ili urasimu kama huu uishe daima

Pdidy mkuu nimekusoma ila hamna alama za nukta,mkato, mshangao wala kiulizo ni full sentensi..ha ha
 
Back
Top Bottom