Abiria wagoma kushuka daladala wapo ndani ya gari makuburi external

ah isingewezekana wale abiria kumchapa driver tena akiwa kwenye imaya yake!kitaani kila kona masela wamejaa!hahahahaha daah imeniacha hoi sana hii avatar!,
Pia nimegundua jinsi wabongo wanavowaste tym ktk ishu ndogo!umefika kimara then ukarudishwa ubungo na nauli ukarudishiwa lakini bado mzozo

Ndugu,wabongo wa akili zako wapo wengi lakini si wote tuna akili kama zako. Tena wa tz ndio tunaochekwa zaidi ya wa afrika mashariki wote katika kudai haki! Tu wapole mno na huwa tunasema no hurry in Afrika. Matokeo yake siku zote tuna kandamizwa na huwa inakula kwetu. N.B: kuna utani kule Kenya kwamba mwizi aliingia mida ya saa 6 mchana kuiba kwenye nyumba iliyokuwa ikilindwa na mbwa hapa tz. Yule mbwa alikuwa amelala chini ya mti wa embe na alichofanya ni kwamba alifungua jicho moja na kumwambia yule mwizi"sasa nawe mchana wote huu mi nimepumzika ndo unakuja kuiba?,utaona sikukimbizi hata kidogo!. My take:some people see us as we are not serious when dealing with critical issues!. Lets change our behaviour and it will change our nation!
 
Back
Top Bottom