Duh, sasa kwetu nini salama, magari, treni, meli kila siki ajari
Kwa wanaojua, implication ya statement ya FJM hapo juu ni kubwa sana.Uwanja wa Kigoma ni mbovu sana.
Wala siyo 5km! Kiwanja cha ndege chenye runway ndefu kuliko vyote nchini ni KIA, ambapo ni hiyo 5km, na haitumiki wholly. Kiwanja cha Kigoma kinahitaji km 2 tu za ruway ya lami.Zile kokoto na changarawe ni hatari sana....hivi tunashindwa kuweka 5kms tu za lami ya run way kweli kila mkoa?tunaweza nini?kufungasha misafara mirefu kwenda ulaya kupewa suti??