Abiria wa daladala mkoani arusha kuweni makini...!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuanzia sasa abiria anayeshushwa sehemu isiyo na kituo rasmi atakamatwa na askari wa usalama barabarani na kuwajibishwa,adhabu haitakuwa kwa kondakta au dereva wa daladala(kifodi)
 
hii imekujajekujaje?......mbona ghafla namna hii.......
 
ule mgomo unahusu makonda kupigwa faini kupita kiasi.

sasa hapa Uda.....ukiangalia abiria yeye anahusika vipi?.......kwa nini wasisisitize kuwepo vituo then huyo mshushwaji na mshushaji wakikaidi amri ndio waadhibiwe?......njia kuu iliyokuwa na mgogoro ni njia ya kutoka mjini kwenda Mbauda na Majengo.....na ukiangalia kweli njia hii haina sehemu za kushushia abiria.......sijui wanataka watu wafanyeje
 
Duh!? Hii kali! Kwahiyo maneno kama msaada kwenye tuta, kwa mama nairo, chini ya mparachichi yatatoweka kabisa!
 
Sasa kama ndio hivyo, abiria wa sanawari, ungaltd, sombetini wote wataishia jela!
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">sasa hapa Uda.....ukiangalia abiria yeye anahusika vipi?.......kwa nini wasisisitize kuwepo vituo then huyo mshushwaji na mshushaji wakikaidi amri ndio waadhibiwe?......njia kuu iliyokuwa na mgogoro ni njia ya kutoka mjini kwenda Mbauda na Majengo.....na ukiangalia kweli njia hii haina sehemu za kushushia abiria.......sijui wanataka watu wafanyeje</span></font></font>
<br />
<br />
ndio muafaka huo!labda abiri waanzishe mgomo wao.
 
Back
Top Bottom