Mu-Israeli JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,454 975 Jul 18, 2012 #1 Hapo jamaa kabeba abiria kibao, huu 'mshikaki' wa ukweli !!! Attachments Abiria kwenye pikipiki.jpg 46 KB · Views: 127
Sizinga Platinum Member Oct 30, 2007 9,100 6,022 Jul 18, 2012 #2 Hahaaa hadi kwenye kisado...hii nadhani ni India hii/asia
Mu-Israeli JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,454 975 Jul 18, 2012 Thread starter #3 Sizinga said: Hahaaa hadi kwenye kisado...hii nadhani ni India hii/asia Click to expand... Hao watoto waliobebwa kwenye ndoo na mgongoni naona labda ni mapacha, maana wanafanana mpaka nywele zao !!
Sizinga said: Hahaaa hadi kwenye kisado...hii nadhani ni India hii/asia Click to expand... Hao watoto waliobebwa kwenye ndoo na mgongoni naona labda ni mapacha, maana wanafanana mpaka nywele zao !!
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jul 18, 2012 #4 Mu-Israeli said: Hapo jamaa kabeba abiria kibao, huu 'mshikaki' wa ukweli !!! Click to expand... Huku kwetu unaitwa mshikaki, sasa huo utaitwa mtungo au vipi?
Mu-Israeli said: Hapo jamaa kabeba abiria kibao, huu 'mshikaki' wa ukweli !!! Click to expand... Huku kwetu unaitwa mshikaki, sasa huo utaitwa mtungo au vipi?
felinda JF-Expert Member Jun 23, 2012 351 136 Jul 18, 2012 #5 khaa,hiyo hatari sana hakikosa balance kwisha wote.