Abiria 15 wafariki ajalini musomal..saa 12:45 jioni

TATOO

Senior Member
Jul 1, 2012
113
21
Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya mji wa musoma,,kati ya waliokufa ni pamoja na dereva na askari jeshi mmoja na mwenzake kuvunjika vibaya,,ikumbukwe kwamba barabara ya musoma mwanza inafanyiwa matengenezo makubwa na sehemu ilipoangukia gari hiyo ni sehem amabayo tayali ilishakamilika kwa kuwekewa lami safi sana,,na hivyo kama watumiaji hawatachukuwa tahadhali basi mwendelezo wa ajali kama hii huwenda zikaongezeka,,

Picha nawaletea baada ya mda mfupi japo zinatisha sana..!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mungu wangu,hizi ajali zitatumaliza.Poleni sana majeruhi na marehemu wapumzike kwa amani
 
Ndugu zangu wa musoma poleni sana! Roho za marehemu zipumzishwe kwa amani!
 
Ahsante sana kwa kutujuza na kuwatahadharisha watumiaji wa hiyo barabara mpya. Kama picha zinatisha usiweke, si vyema.
 
Du ndugu mwandishi kweli Nyamshwa pale njia panda ya kwenda Butiama kwa mwalimu kweli kuna rami siku hizi? Mi nimepita tu kama mwezi hata upembuzi yakinifu ulikuwa bado
 
Mie nilivyomuelewa mwandishi ni kwamba ajali imetokea jirani na Musoma along Musoma -Mwanza Road! Nadhani itakuwa hapa njia panda ya mwanzo ya njia (ya vumbi) ya kuelekea Butiama ukitokea Musoma mjini!
 
Inasikitisha....Roho za wana wa adamu zikipotea namna hii...RIP

Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya mji wa musoma,,kati ya waliokufa ni pamoja na dereva na askari jeshi mmoja na mwenzake kuvunjika vibaya,,ikumbukwe kwamba barabara ya musoma mwanza inafanyiwa matengenezo makubwa na sehemu ilipoangukia gari hiyo ni sehem amabayo tayali ilishakamilika kwa kuwekewa lami safi sana,,na hivyo kama watumiaji hawatachukuwa tahadhali basi mwendelezo wa ajali kama hii huwenda zikaongezeka,,

Picha nawaletea baada ya mda mfupi japo zinatisha sana..!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ajali ni mbaya sana...mimi leo asubuhi kidogo nigonge mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara wakati magari yameruhusiwa na taa za kuongoza magari
 
Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya mji wa musoma,,kati ya waliokufa ni pamoja na dereva na askari jeshi mmoja na mwenzake kuvunjika vibaya,,ikumbukwe kwamba barabara ya musoma mwanza inafanyiwa matengenezo makubwa na sehemu ilipoangukia gari hiyo ni sehem amabayo tayali ilishakamilika kwa kuwekewa lami safi sana,,na hivyo kama watumiaji hawatachukuwa tahadhali basi mwendelezo wa ajali kama hii huwenda zikaongezeka,,

Picha nawaletea baada ya mda mfupi japo zinatisha sana..!!!!!!!!!!!!!!!!!

Poleni sana!
 
Du ndugu mwandishi kweli Nyamshwa pale njia panda ya kwenda Butiama kwa mwalimu kweli kuna rami siku hizi? Mi nimepita tu kama mwezi hata upembuzi yakinifu ulikuwa bado

Mkuu gari iliyopata ilikuwa inakwenda Bunda kupitia Butiama na Nyamuswa. Ajali imetokea nje kidogo ya Musoma.
 
Back
Top Bottom