Abdulrahman Kinana Na Artumas

Mpigie simu JK umwulize kama huu UDAKU we Fair Player unajuwa kabisa hii habari ni nzito na ina UHUSIANO NA MKAPA,CHENGE,KINANA,VITA YA COMMORO,TANESCO,RICHOMOND NA KILA KITU!
Huu Udaku sasa unahamia kwetu watu wa JF maana hata Google wanatukataa na hiyo www,artumas.tv hamna cha Kinana wala Abdulhaman

  1. [h=3]Justin.tv - artumas - Videos[/h]www.justin.tv/artumas/videos -

    Justin.tv is a community of live broadcasters and viewers. Broadcast and customize on your own channel.




  2. [h=3]Abdlahaman Kinana Na Artumas - Page 2[/h]www.jamiiforums.com › General Forums › Jukwaa la Siasa
    Machapisho 21 - waandishi 8 - 9 Jul 2008
    By Kubwajinga View Post. Mbona sijaona Kinana mahali popote kwenye hiyo site? Hebu weka specific link. Nenda link hii Mkuu Artumas TV ...





Tuache UDAKU na ushabiki habari zetu zinasambaa kwani heading haiendani na ukweli hata wa Artumas tv
 
Kutoka gazeti la Tanzania Daima:

Akifungua kikao cha Baraza Kuu, Mbowe alisema ni wakati wa serikali kusitisha mara moja mpango huo wa kusafirisha gesi hiyo kwenda Dar es Salaam na ikae na wananchi kwa ajili ya kupatia ufumbuzi.
“Haya yanayotokea leo mkoani Mtwara ni matokeo ya wananchi kuchoka na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM, wanachofanya Mtwara sio jambo la kusifu ila ni ujasiri wa kupongezwa,” alisema.
Alisema serikali ya CCM kwa sasa inapaswa kujiandaa kutoa maelezo ya mrejesho wa madini katika maeneo mbalimbali ya nchi, usafirishwaji wa meno ya tembo pamoja kuweka wazi mikataba zaidi ya 26 katika sekta ya uchimbaji wa gesi nchini.
Mbowe alisisitiza kuwa serikali haiwezi kuwa na nia ya dhati ya kuwasikiliza wananchi kwa kuwa miongoni mwa wamiliki wa makampuni yanayochimba gesi ni ya viongozi wa CCM ikiwemo Katibu Mkuu wake Abdulrahman Kinana kupitia makampuni hayo (Artimax).
Mbali na Kinana Mbowe pia alimtaja kiongozi mwingine wa CCM mwenye maslahi binafsi katika gesi kuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, ambaye pia ni Mbunge wa Newala.
“Wakati wa kubembelezana katika kutekeleza wajibu kwa wananchi umepitwa na wakati na suala la wananchi kudai rasilimali ziwanufaishe halitaishia Mtwara pekee bali litaenda kila eneo nchi nzima,” alisema.
 
Aisee! CCM wanatishaaa! ndiyo maana Kinana ni katibu sasa..yatawadodea.


Mkuu Mnyika, nakuomba sana ipitie thread hii tangu mwanzo hadi mwisho.
Ina mambo mazito mno na ninapongeza sana jmushi1 kwa utafiti mkubwa alioufanya na kuweka shahidi mbalimbali hapa; hasa zinazo ihusu artumas na the current wentworth!!
 
Last edited by a moderator:
Leokweli,
Sasa nimemuona Kinana pamoja na MP. wa Masasi Bw. Marope. Kama na Kinana naye yumo kwenye hizi biashara za kuuza nchi, basi tumekwisha.

Hivi ni kwa nini hizi kampuni zinazosema zina-invest TZ zote zinaweka watu wenye nguvu sana ndani ya CCM kuwa ni maDirector wao? Wana nia gani wanapofanya hivyo? Hivi huko ndio kuajiri wazawa au ni kununua influence?

Dr. Slaa alisema Secretariet ya CCM ni genge la wezi! CCM haina mtu msafi, kumbe Kinana yuko kwenye mtandao wa kuuza nchi na kuhujumu rasilimali za taifa!
 
Mkuu Mnyika, nakuomba sana ipitie thread hii tangu mwanzo hadi mwisho.
Ina mambo mazito mno na ninapongeza sana jmushi1 kwa utafiti mkubwa alioufanya na kuweka shahidi mbalimbali hapa; hasa zinazo ihusu artumas na the current wentworth!!
Ni kweli mkuu,niliona hoja ya chadema kuhusu ARTUMAS na Kinana,kiukweli ilianzia hapa JF.
 
Back
Top Bottom