Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

Jamani tusimlaumu sana Zombe..kwa experience ya kule magereza, inawezekana kabisa jamaa wa mle ndani wameshaharibu sana mifumo yake mikuu ya ufahamu,uelewa,

na kumbukumbu hiyo inatakiwa huyu jamaa apelekwe mirembe..

NIJUAVYO GEREZAN AKUNA MIFUMO YA KUHARIBU UFAHAMU SEMA WAZI WAMEMARIIBU WAPIIIIIIIII LABDA NDIO IKAMCHANGANYA NA UFAHAMU
BE OPEN BANA
VIGEZO NA MASHART KUZINGATIWA

Kwakweli bila kutia chumvi yoyote nilisikitika sana prosecutor alipopoteza hii kesi...kulifanyika upelelezi wa hali ya juu, matundu ya risasi, ushahidi wa majirani, mapolisi waliokimbia, bado Zombe mwenyewe aliyenukuliwa mpaka na vyombo vya habari

Naomba kuuliza , je naweza nikaengage private investigator kunikusanyia ushahidi ?? Maana mauaji mengine hapa yanakuwa wazi kabisa bali watu wanaachiwa kwa uzembe wa polisi kushindwa kupeleleza kesi vizuri, mimi nimenuia kuleta criminal investigators kwenye kesi flani nataka tu kujua kama ni sawa

Damu za watu aliowaua zinamwita huyo. Chadema chukua nchi ili Zombe ajitendee haki ya kujinyonga kwa maana mahakama imeshindwa kumtendea haki ya kumnyonga.

Sasa ukitaka kujua jinsi serekali yetu inavyoendeshwa kwa utawala feki wa sheria, utashangaa.
Police kesho wanajitokeza na kusema kuwa wanazifanyia kazi tuhuma hizo.
Wakisaidiwa na TBC, mara wanaanza kumhoji nk.
Mara Kesi inaanza kwenye MEDIA na hukumu kwenye MEDIA e.t.c.
Nchi ya ajabu sana hii

Nchi yetu ni uwanja wa fisi Mkuu, hii ni propaganda ya magamba ili kumchafua Lema na kumpunguzia speed yake kama Mbunge, magamba ndio zao hizo. Huyo Zombe alijua lini kama Lema ni mwizi wa magari na kwanini hakumkamata pamoja na alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo!?

Kweli damu nzito kuliko maji, itamwandama mpaka mwisho. Huyu alikuwa polisi mkubwa tu, kumbe alikuwa anaelewa nani mhalifu halafu alikuwa kimya tu! nafikiri wamsweke tena ili awataje na wengineo

Jamani mbona mnatizama upande mmoja tu? Kawaulizeni wakazi wa Arusha kazi ya Lema kabla ya Ubunge alikuwa anafanya kazi gani, Lema, miaka ya nyuma amewahi kujiusisha na magenge ya uhalifu wa aina mbali mbali kabla ya kuacha na kujikita kwenye biashara..

Zombe yuko sahihi kabisa, ila ameyasema haya wakati mbaya.

Me nadhani kwa nafasi yake aliyokua nayo anajua mengi,...
sasa ni mda tuone upande wa pili (Lema),kama kapakaziwa kweli "aende mahakamani"
ili zombie atiwe hatiani,...asipo fanya hivo ntaamini ni kweli alikua mwizi (who knows labda bado ni mwizi)

Unless,mahakama sasa imsafishe,na wa kuomba kusafishwa ni lema asisubiri kushitakiwa
au asije na mafisadi's politics kwamba "kama ni kweli wanishitaki",.....

Lema,fungua kesi kama unajiamini uko clean

Hata hakimu naamini alikula kidogo2 cha zombe aache zalau na kujidai mpuuzi huyo

Kweli aisee, Lema amekaa kijambazi jambazi!
Ukizingatia tena na ile kampan yake, huwez pinga kabisa!

Mh. Zombe, swali la nyongeza!! Eeh!! Kwani wakiamua si anaweza kuwa mheshimiwa kwa tiketi ya CCM!!! Halafu akaitwa shujaa.!! Nami cku akiwa mheshimiwa nitakimbilia nch za nje katafuta ajira huko. Hata kama ni Bunjumbura sawa tu. Kama tbc wanaweza kumpa nafac ya kusema utumbo/uchuro wake hewani, nidhahiri mkuu wa nch watakuwa wanachat kla cku kwa skyp. Ndo maana anaongea kwa ujacri. Watz tushaonekana MABWEGE kwelikweli. Mungu na our power atusaidie tu!!! Vinginevyo cjui!!!!!!

Damu aliyomwaga inamsumbuwa sasa, maana adhabu ya kunyongwa ndio ilikuwa haki yake naona hukumu ya mungu haisubiri hata kama watawala wakikwepa kiasi gani mungu lazima atende haki dhahiri;
1. Kuna Yahya alijifanya kuwa atakaye gombea against majini yake lazima afe kaanza yeye mwili una oza na roho inapata mateso jehanam sasa hivi.
2. Dito naye aliuwa dereva wa Daladala, wakatumia kiburi cha undugu na rais kupindisha kesi, soon akawai kupata hukumu yake.
3. Naona na huyu sasa laana ya wafanyabiashara aliouwa imeaza kumla, hiki ni kipimo tosha akili haimo tena hajui alifanyalo wala analoongea msishangae akijinyoga ukweli

Jamani mbona mnatizama upande mmoja tu? Kawaulizeni wakazi wa Arusha kazi ya Lema kabla ya Ubunge alikuwa anafanya kazi gani, Lema, miaka ya nyuma amewahi kujiusisha na magenge ya uhalifu wa aina mbali mbali kabla ya kuacha na kujikita kwenye biashara..

Zombe yuko sahihi kabisa, ila ameyasema haya wakati mbaya.

poor Tanzania! Sasa nimeelewa kwa nini siku Nyerere alipokufa hata mimi machozi yalinitoka bila kujua! Watanzania walilia sana utafikiri ulikuwa mwisho wa Tz!

Damu aliyomwaga inamsumbuwa sasa, maana adhabu ya kunyongwa ndio ilikuwa haki yake naona hukumu ya mungu haisubiri hata kama watawala wakikwepa kiasi gani mungu lazima atende haki dhahiri;

Kuna Yahya alijifanya kuwa atakaye gombea against majini yake lazima afe kaanza yeye mwili una oza na roho inapata mateso jehanam sasa hivi.

Dito naye aliuwa dereva wa Daladala, wakatumia kiburi cha undugu na rais kupindisha kesi, soon akawai kupata hukumu yake.

Naona na huyu sasa laana ya wafanyabiashara aliouwa imeaza kumla, hiki ni kipimo tosha akili haimo tena hajui alifanyalo wala analoongea msishangae akijinyoga ukweli

Nackia iman ya din yake inacema mwanamme akifa anawakuta mabikira wengi, alah ameshamwandalia wakujivinjari nao!! Anataka kuwawahi kabla hawajaisha.

Jamani mbona mnatizama upande mmoja tu? Kawaulizeni wakazi wa Arusha kazi ya Lema kabla ya Ubunge alikuwa anafanya kazi gani, Lema, miaka ya nyuma amewahi kujiusisha na magenge ya uhalifu wa aina mbali mbali kabla ya kuacha na kujikita kwenye biashara..

Zombe yuko sahihi kabisa, ila ameyasema haya wakati mbaya.

Hatukatai..maneno yako yanaweza kuwa na ukweli ndani yake..ila tujiulize tu swali dogo kwanini siku zote hizi hatukuwahi kuskia tuhuma zozote juu ya wizi wa magari zinazo mface huyu bwana...na kama kweli ni mwizi kwanini hajakamatwa mpaka leo hii lema yupo bungeni

Similar Discussions

Back
Top Bottom