Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,939
- 6,849
Alisema akiwa njiani, alikutana na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni wahalifu ambao walimkamata kwa nguvu na kisha kumfunga mdomo na kumfanyia kitendo hicho cha kinyama.
Kwa nini wanasadikiwa kuwa ni wahalifu?
Ninachoombea ni kuwa marehemu awe aliathirika ( mungu ailaza roho yake mahali pema peponi) maana sidhani kama hawa wanyama walitumia kinga!