Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Kuna mama mmoja Nairobi anatibu meno kwa kutumia mitishamba (sio uganga). Nilimuona kwenye Citizen pamoja na wateja wake. Kikubwa sana anachokifanya ni kusafisha meno na kuwa meupe pee.
Kuna watu tuna meno kama mahindi ya kukaanga sasa nadhani huyu mama anaweza kutusaidia katika kusafisha meno yetu.
Naomba mtufanyie utafiti tujue yupo wapi na gharama zake.
Kuna watu tuna meno kama mahindi ya kukaanga sasa nadhani huyu mama anaweza kutusaidia katika kusafisha meno yetu.
Naomba mtufanyie utafiti tujue yupo wapi na gharama zake.