Aamua kujinyanga baada ya kuona maisha magumu

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Ahh binadamu siku hizi wamebadilika majumbani kwao hakuna vyakula kabisa heri nijinyonge tu
 

Attachments

  • maisha.jpg
    maisha.jpg
    7.7 KB · Views: 131
Sasa Mkuu Konaball huko alikoamua kwenda kokrochi ndiyo kuna chakula. Inaonekana umenyonga hata wale jamaa waliomnaniliu Mwangosi wakijakupima wataona wazi.
 
veve situa mimi, nilidhani jemba limefanya kweli
 
Mkuu weka warning kwenye tittle maana inatisha. Tehteh!
 
Back
Top Bottom