Aambiwa cheti chake cha degree akafungie samaki, hakuna alichosoma

Mada hizi ni za mtu ambae hajitambui,mimi ni mhitimu chuo kikuu cha dar es salaam,kwangu siamini katika jina la chuo,naamini katika uwezo wa mtu bila kuangalia kamaliza chuo ganj,siri ni kujiandaa na kuyatafuta maarifa,chuo kinakupa 25%,the rest ni juu yako,kwaio haitajalisha upo chuo gani,lakini how deep you are in your field na unastruggle namna gani kumaster hivo vitu.
Thats all
Waajiri hawaajiri majina ya vyuo,wanaajiri a suitable and competent candidate
 
Acha uongo dada.

Hii dunia kuna watu wana maneno unaweza ukakasirika mpaka ukawa mwekundu au mweusi kwa namna hasira, chuki na ghadhabu zilivyokujaa. Ninyi binadamu mnapokuwa na kazi msiwanyanyase wenzenu kiasi hiki.

Jamaa mmoja alisoma CBE alienda kuomba kazi Kampuni moja Binafsi inasemekana waliokuwa wanamhoji (interview) mmoja amesoma UK ,wawili UDSM miaka kama 8 iliyopita. Basi wakawa wanamhoji huyo jamaa ambaye kwa mujibu wa mleta habari anasema jamaa alikuwa na G.P.A ya 4.7 toka chuo cha CBE.

Waliomfanyia usaili walipoona cheti chake wakatamani sana kuweza kuongea naye wamuone huyo candidate kwa sababu walikuwa wanabishana uhusiano wa Lugha, GPA na akili au uelewa. Jamaa kweli akawa ameingia kwenye chumba akiwa mtanashati kabisa. Utata ukaanzia kwenye lugha kwanza, jamaa hajui kiingereza.

Wakaona suala lisiwe lugha basi watumie kiswahili. Jamaa nako akawa hajui kutofautisha matumizi ya r na l, ha na a, tha na za, za na dha na maneno mengine mengi akiyakosea. Kuja kwenye content ndo ikawa tatizo zaidi. Kuja kwenye mambo ya kawaida nayo hajui anajiuma uma na kutetemeka.

Jamaa mmoja akawambia "Wewe ni mtu wa 8 toka hicho chuo chenu, ni hovyo kabisa hivyo vyeti mnavyopata hapo chuoni ni bora mfungie tu samaki au maandazi". Jamaa mwomba kazi alijisikia vibaya sana na kusema ataenda kushtaki kwamba amedhalilishwa. Mhusika akamwambia awahi afanye haraka akashtaki maana naye atapata nafasi ya ku prove kuwa jamaa ni ******. Yule jamaa mpaka leo hajaenda kushtaki anabaki tu kulalamika kuwa chuo chake kimetukanwa.

Nikakumbuka mwaka flan pale mliman kuna mtu alivaa kituko akaambiwa aende huko CBE ndo kunamfaa. Akabisha kuwa yeye yupo huru, semister ile mwishoni jamaa aliliwa kichwa akadisco. Akaenda kuanza kitivo kingine na huko akawa analeta utozi na u much know na perfomance mbaya darasan, wakamshauri aende CBE maana kule kuna watu wa aina yake. Akakomaa wakamla kichwa tena, kweli akaamua kwenda CBE.

Akawa anatuma msg anasema kule maisha yako poa hamna stress kabisa ya kusoma na yeye ndo alikuwa anawaburuza sana darasani.

Kumekuwa na maneno maneno mengi kuwa kuna baadhi ya vyuo vipo mchekea sana kielimu na vinazalisha matango pori, yaani watu wasiofaa kuajiriwa kwa maana ya kuwa ni SL yaani slow learners hasa.

Mimi sijui lakini tusiwanyanyase kiasi hiki jaman.

Naona mwisho WA hadithi yako umetuthihitishia kwamba CBE Ni Kwa vilaza
 
hakuna ukweli ndugu yangu! story za vijiweni hizo.
 
wenyewe mmekuja kujitetea???????????????????? ha ha ha. hata utetezi wenyewe hauna uzito.hap ndo nachoka na wana cbe. kuna mmoja yeye alisoma cbe lakini kiukweli ni kichwa ukisoma juu utaona comments zake. ninyi wengine akina juma k...... mnakuja na utetezi huo rahisi tu maana hata ku build arguments ni tatizo.

all in all unamiliki nini mpaka sasa? CBE inawafundisha watu kujiajili sio kuajiliwa! ukae ukijua hilo! tuanzie hapo labda?
 
nlijua tu wewe ni CBE na watu watakuja hapa sasa watadhibitisha kuwa asilimia kubwa ya waliosoma huko ni veelezer ukiacha wachache kama mdau mmoja huko juu. yaani hapo ndo ume argue? hujui kuandika, hujui kiswahili na nadhani hata kiingereza. sijui mnajifunza nini ninyi wengine mkienda huko vyuoni kwenu. ni aibu mimi kubishana na wewe kwa level yako ya uelewa

Ndio maana .wanawadharau...hapa ndio umeandika nini sasa..?
 
hizo a,tha,l,r inasababishwa na lugha mama ama maumbile kwenye 'tha'/s'' na havimfanyi mtu kuonekama hajui lugha! kama mengine yote yuko vizuri haina shida, nilichoona wamemuonea wivu na GPA ya 4.7 na wakakuta liingereza yuko vizuri wana wivu sana
 
nlijua tu wewe ni CBE na watu watakuja hapa sasa watadhibitisha kuwa asilimia kubwa ya waliosoma huko ni veelezer ukiacha wachache kama mdau mmoja huko juu. yaani hapo ndo ume argue? hujui kuandika, hujui kiswahili na nadhani hata kiingereza. sijui mnajifunza nini ninyi wengine mkienda huko vyuoni kwenu. ni aibu mimi kubishana na wewe kwa level yako ya uelewa
CBE hawasomi siasa pale ndio maana huwezi kumpata mtu wa kwenda nae sawa
 
Hii dunia kuna watu wana maneno unaweza ukakasirika mpaka ukawa mwekundu au mweusi kwa namna hasira, chuki na ghadhabu zilivyokujaa. Ninyi binadamu mnapokuwa na kazi msiwanyanyase wenzenu kiasi hiki.

Jamaa mmoja alisoma CBE alienda kuomba kazi Kampuni moja Binafsi inasemekana waliokuwa wanamhoji (interview) mmoja amesoma UK ,wawili UDSM miaka kama 8 iliyopita. Basi wakawa wanamhoji huyo jamaa ambaye kwa mujibu wa mleta habari anasema jamaa alikuwa na G.P.A ya 4.7 toka chuo cha CBE.

Waliomfanyia usaili walipoona cheti chake wakatamani sana kuweza kuongea naye wamuone huyo candidate kwa sababu walikuwa wanabishana uhusiano wa Lugha, GPA na akili au uelewa. Jamaa kweli akawa ameingia kwenye chumba akiwa mtanashati kabisa. Utata ukaanzia kwenye lugha kwanza, jamaa hajui kiingereza.

Wakaona suala lisiwe lugha basi watumie kiswahili. Jamaa nako akawa hajui kutofautisha matumizi ya r na l, ha na a, tha na za, za na dha na maneno mengine mengi akiyakosea. Kuja kwenye content ndo ikawa tatizo zaidi. Kuja kwenye mambo ya kawaida nayo hajui anajiuma uma na kutetemeka.

Jamaa mmoja akawambia "Wewe ni mtu wa 8 toka hicho chuo chenu, ni hovyo kabisa hivyo vyeti mnavyopata hapo chuoni ni bora mfungie tu samaki au maandazi". Jamaa mwomba kazi alijisikia vibaya sana na kusema ataenda kushtaki kwamba amedhalilishwa. Mhusika akamwambia awahi afanye haraka akashtaki maana naye atapata nafasi ya ku prove kuwa jamaa ni ******. Yule jamaa mpaka leo hajaenda kushtaki anabaki tu kulalamika kuwa chuo chake kimetukanwa.

Nikakumbuka mwaka flan pale mliman kuna mtu alivaa kituko akaambiwa aende huko CBE ndo kunamfaa. Akabisha kuwa yeye yupo huru, semister ile mwishoni jamaa aliliwa kichwa akadisco. Akaenda kuanza kitivo kingine na huko akawa analeta utozi na u much know na perfomance mbaya darasan, wakamshauri aende CBE maana kule kuna watu wa aina yake. Akakomaa wakamla kichwa tena, kweli akaamua kwenda CBE.

Akawa anatuma msg anasema kule maisha yako poa hamna stress kabisa ya kusoma na yeye ndo alikuwa anawaburuza sana darasani.

Kumekuwa na maneno maneno mengi kuwa kuna baadhi ya vyuo vipo mchekea sana kielimu na vinazalisha matango pori, yaani watu wasiofaa kuajiriwa kwa maana ya kuwa ni SL yaani slow learners hasa.

Mimi sijui lakini tusiwanyanyase kiasi hiki jaman.
limeseji lote hili! inaonyesha jinsi gani huna kazi za kufanya! kwanza haya mawazo ni yakitoto! kama ndio unasema una degree kwa mawazo haya? nawasiwasi na chuo chako! lete mawazo ya maendeleo acha mambo ya ajabu ajabu hao watu unao wasema wapo kila sehemu!
 
Back
Top Bottom