'Aajbu': Ustaadhi agoma kuoga maji yalotiwa kidole!!!!!

hapo alihisi na yeye katiwa kidole ati

This is a very good example of what we call a "great thinker". Where is my JF?

“You can only be young once. But you can always be immature.”
 
JANABA:
Ni tendo la kutoka kwa manii(sha hawa)iwe kwa kumuingilia mtu/mnyama mbele au kwenye tigo,kutokwa na sha hawa kwa njia isiyo rasmi(kuota/kujichua),kuingiza japo kichwa cha uume katika u chi wa mtu/mnyama,tendo hili kwa mwanaume yeyote atakayetokewa/atakayefanya kitendo hiki anatakiwa akakoge JOSHO LA JANABA kwa maji safi.
kwa mwanamke anapoingiliwa na mtu/mnyama katika sehemu zake za siri aidha mbele/nyuma hata kikiingia kichwa cha uume ni lazima akakoge JOSHO JANABA kwa maji safi.

SIFA ZA MAJI SAFI:
Yawe yanayochuruzika kutoka katika bomba/mvua,
Yasiwe na ladha,
Yasibadilike rangi,
Yasiwe na najisi ndani yake. NAJISI: damu,matapishi,ma vi,mkojo n.k
Ila maji ya bahari/mto/ziwa ni twahara(safi) unaweza ukajisafisha nayo kwa kuoga ndani yake au maji yanayozidi ndoo 12,maji hayo mtoto anaweza akayachezea/akayatia vidole kadri awezavyo bila matatizo.
Ila maji chini ya ndoo 12 ukifanya hayo ya hapo juu yanakuwa hayafai kuoga maji hayo.

NIFASI:
Mwanamke yeyote ambaye amejifungua anatakiwa akoge josho hili kwa maji niliyoyaeleza hapo juu hapo juu.
Kama una maswali zaidi unaweza ukamuuliza Muislamu ambaye anayeijua dini yake vizuri ambaye yuko jirani nawe,bila kusahau mimi pia.
M/mungu ndiye anayejua zaidi.
Nalog off


Mkuu asante sana kwa hiyo elimu kwa kweli itanisaidia sana kuishi kwa amani na wengine wenye imani tofauti na yangu. Heshima kwako mkuu
 
huyo Ustaadh alikuwa na JANABA kwahiyo alitakiwa ajitwaharishe kwa maji yaliyo twahara,sasa kitendo cha huyo mtoto kuyatia maji kidole ni kwamba maji hayo yanakuwa sio twahara tena na hayafai kwa kuoga JANABA/NIFASI ila tu kama ni kuoga ili kuondoa jasho basi yangefaa,kwahiyo Ustadh yuko SAHIHI kutokoga maji hayo,ukitaka kujua mengi muulize huyo ustadh atakufundisha Uislamu na utamuelewa.Nalog off
Acheni ushirikina!
KAMA ni janaba huyo mtoto ana janaba gani kiasi huyu ustaadhi ajifarague ivo?
 
Acheni ushirikina!
KAMA ni janaba huyo mtoto ana janaba gani kiasi huyu ustaadhi ajifarague ivo?
Bi dada inaonesha hujaelewa nini kinazungumziwa,umekurupuka tu kujibu,msome tena muuliza swali halafu soma tena jibu hilo ulilolisema kuwa ni la kishirikina,hakuna ushirikina hapo. Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom