Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Hhahaaaaaaa Erickb52 bahati mbaya au nzuri mie sina chama, naona siasa kama mchezo mchafu tu, wachache wananeemesha matumbo yao kupitia wanachama..........
Hahahahahahahaaaa
Halafu huyo mwenyewe Mphamvu kuna kipindi avatal yake ilikuwa ya jembe na nyundo....nashangaa leo kakugeuka amakucheka wewe.....teh the
Ila BADILI TABIA inabidi uwe na chama sasa
 
Last edited by a moderator:
nipo loliondo, hakufai huku,kwanza kutoka ar unatumia masaa 8! Barabara mbovu ile mbaya!Kuanzia leo naunga mkono ujenzi wa barabara ya serengeti.
Hahahahaa huko ndo kwenyewe...
Ukipita Ar utuambie wadau utupe hi kijana
 
Sh. 600 tu/1L ya Kibuku, afu ukipiga tatu ni sawa na Kilimanjaro tisa, ila domo linanukaje?
Bia ilivyo-turn 1700, ilibaki kidogo nihamie huko, maana nikiangalia kiroba nacho kilishakuwa 1200.

ah ... Mphamvu bana! Nimechekajee...

Si twauziwa 1,800/- kiroba buku!

So mdomo kunuka lazima,vipi hamna vichengachenga vya kimea,ambavyo inabidi utemeteme?
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu
pole sana, unajua kwa nini nilishangilia? Nilijua tu piga ua galagaza by any means hata judge akifunga macho jamaa lazima atashinda. Kama alikutwa na masanduku ya kura na akatangazwa ushindi itakua mahakamani? Tena mahakama ambazo zipo chini yao?

Halafu Mphamvu, hutaki waziri ashinde kesi? Unataka akale wapi jamani loh........!!!!

Ila sijarudi kwenye ile thread nahisi wadau walishambulia eeeeh? Ngoja nikaitafute

Mmmhmm! Mnanichakachulia uzi..
 
Last edited by a moderator:
ah ... Mphamvu bana! Nimechekajee...

Si twauziwa 1,800/- kiroba buku!

So mdomo kunuka lazima,vipi hamna vichengachenga vya kimea,ambavyo inabidi utemeteme?

What a challenge kunywa Kibuku, ila ukimkuta Mchagaa ambaye ametoka mbali kimaisha afu amezifuma, anapiga ile kitu kama kawaida. Ana muda?
Hahahahahhaaaa Mphamvu acha kukwepa

Sijakwepa, sisi tumefundishwa academic honesty, lazima uacknowledge vyanzo vyako vya maarifa.
Hahahahahahahaaaa
Halafu huyo mwenyewe Mphamvu kuna kipindi avatal yake ilikuwa ya jembe na nyundo....nashangaa leo kakugeuka amakucheka wewe.....teh the
Ila BADILI TABIA inabidi uwe na chama sasa
Lini bana avatar yangu ilkuwa ivoo? Labda kuna day niliweka kidogo tu kuchangamsha baraza...
Au unataka niirudishe?
Mphamvu
pole sana, unajua kwa nini nilishangilia? Nilijua tu piga ua galagaza by any means hata judge akifunga macho jamaa lazima atashinda. Kama alikutwa na masanduku ya kura na akatangazwa ushindi itakua mahakamani? Tena mahakama ambazo zipo chini yao?

Halafu Mphamvu, hutaki waziri ashinde kesi? Unataka akale wapi jamani loh........!!!!

Ila sijarudi kwenye ile thread nahisi wadau walishambulia eeeeh? Ngoja nikaitafute

Wala hukuniboa sana, najua tu ilikuwa ni fingerslip (badala ya tongueslip)
LOL!
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu Wachagga tunakunywa "Mbege","Dadii",labda na "Piwa"... Sema "Kibuku" inafanana na "Dadii" labda...
 
Last edited by a moderator:
Lini bana avatar yangu ilkuwa ivoo? Labda kuna day niliweka kidogo tu kuchangamsha baraza...
Au unataka niirudishe?
Hahahahahaaaaa rudisha wadau wakuvae kwa vijembe teh teh yan siku hizi mtu kuwa sisiemu ni kama kosa lol tunasahau kuna uhuru wa vyama na kipenda roho
Ila usiweke bhana
 
Halafu pale pembeni ya "Simba Kapakatwa" (Chagga Bite)... Ilikuwa kila Jumapili panapatikana Mbege ya ukweli pale! Dah... Sisahau...
 
Mphamvu Wachagga tunakunywa "Mbege","Dadii",labda na "Piwa"... Sema "Kibuku" inafanana na "Dadii" labda...

Unajua wakati tunakuja Dar miaka hiyo wajasiriamali wa 'umbeke' walikuwa bado kushika hatamu. Kwa hiyo kimbilio la wengi likawa Kibuku, hasa kwa vile ni pombe ya nafaka pia.
Ushawahi kunywa piwa gambachovu?
 
Last edited by a moderator:
View attachment 53284

10180.jpg

Hiki ki-Pub banaa...
 
Back
Top Bottom