gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
- Thread starter
- #81
Hizihizo sema umesahau banana
Chupa mbili mtu unapepesuka!
Hizihizo sema umesahau banana
Hahahahaaa bora ufunike maana itakuwa noma
Teh mambo ni mbele kwa mbele la msingi usisahau nyumbani tuHaya bana... Asiwe anachanganya lakini.. Mning'inio unakuwa mkali sana!
Wakuu mbona always mnachanganya?
Kibuku na Banana ni pombe za kiwandani bana, huezi zichanganya na hizo treemade na homemade.
Tena kama Kibuku mnawaunderestimate kabisa, maana wanalipa kodi kubwa kuliko Barrick, chondechonde wakuu.
Hahahahahahaaaaa sasa wewe unaanza tena kuleta uchokozi hujui uko live saa hizi...akipita kwenye hii thread nalog Off teh tehUnahofia raia watamchoka kama walivyomchoka memba mmoja jina lake linaanza na R?
Hahahahahaaaa mwache dogo alale...ukiamka asubuhi saa 12 utamkuta keshaamka tayari anapitiapitia thread za leo
Utashangaa manesi wanamtandika makofi hadi network inarudi fasterDuh.. Na kweli... Sipati picha watakavyompokea na miharufu ya pombe wauguzi wa Kizenji.. Achilia mbali huduma atakazopewa!
Teh mambo ni mbele kwa mbele la msingi usisahau nyumbani tu
Utashangaa manesi wanamtandika makofi hadi network inarudi faster
Tena huwa maalumu kwa majeruhi wa TOYO na walevi hahahahaaaaaaaa tandika mbayaNa bakora pia,au watamuitia hata mlinzi ampige mijeledi.. Wanakuwaga nayo wale!
Hapo hajasema neno lake moja mh akija atalisema mwenyewe ila linaanza na maaaaaan.....com
Tena huwa maalumu kwa majeruhi wa TOYO na walevi hahahahaaaaaaaa tandika mbaya
Hata packaging yake ni bora pia.. Ila bei yake sasa,na inakouziwa sasa!
Hahahahahaaaa huko sio Duniani?
Pole sana ni wapi huko?
Tukuyu? Lol kule ndio mwisho wa baridi TZ
Ningekuwa na mabawa mimi ningeruka kama ndege...
Nooh? Umeniudhi sana BADILI TABIA leo, kwenye ile post ya ushindi wa Maqongorroh, umewashabikia magamba mpaka umeniudhi.
Aaaagh...
Hahahahahaaaa Mphamvu unamaanisha na BADILI TABIA ni mzee wa magamba?