Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Hahahaaaa
Ila akienda kuishi Pemba ile safari ya kwenda kuitafuta ndovu lazma atachoka na hamu itakuwa inamuisha haraka na ipo siku atajikuta kawa Mchungaji

Mtafutie walau kabinti ka kumliwaza... Asikose vyote jamani!
 
na wewe bana...tatizo zenj imekuharibu...huko nyuma hukua ivo...sijui nani anakutia kichwa siku hizi...sa hujui ETINA ww?...maeneo kama unaenda BULLS savei...university road!...ila bia 2500tsh..usije na hela zako za mawazo...lol

Alaa... Ila wahudumu wake vipi,wako sharp? Wanafunga saa ngapi?
 
Hizihizo sema umesahau banana

Wakuu mbona always mnachanganya?
Kibuku na Banana ni pombe za kiwandani bana, huezi zichanganya na hizo treemade na homemade.
Tena kama Kibuku mnawaunderestimate kabisa, maana wanalipa kodi kubwa kuliko Barrick, chondechonde wakuu.
 
Hapo utata ni pale unaorudisha chenji....lo ukimaliza lazma upoteze mazima....unaweza kujikuta uko Mnazi mmoja hospital

Duh.. Na kweli... Sipati picha watakavyompokea na miharufu ya pombe wauguzi wa Kizenji.. Achilia mbali huduma atakazopewa!
 
Wakuu mbona always mnachanganya?
Kibuku na Banana ni pombe za kiwandani bana, huezi zichanganya na hizo treemade na homemade.
Tena kama Kibuku mnawaunderestimate kabisa, maana wanalipa kodi kubwa kuliko Barrick, chondechonde wakuu.
Hahahahahaaaaa we ni mtaalamu aisee hivi mbege nayo ni ya kiwandani?
Kuna siku nikuikuta club na nikainywa ingawa nilishiba kuliko hata nikilaga ugali Lol
 
Back
Top Bottom