Aah badala ya suprys karaha

dakings

New Member
Jul 30, 2011
3
0
Unajua unapofanya suprise uwe makini,kulikua na mr na mrs wanaish vzur,siku moja mr alikua na furaha sana akarudi nyumbn akaingia chumbn akamuacha mrs sebuleni,akabadilisha line ya simu ili amsuprize mrs wake,akapiga
mr:halo darlin...
Mrs:subiri kidogo hili nguruwe lipo ndani...

Sijui kilifata nn,je mr ataridhka au atafanya nn!
 
Issue sio infidelity hapo...issue kubwa hapo ni kuitwa 'nguruwe' mbele ya mwanaume mwenzako..
 
HUSBAND: Well guess what,the one you call pig screws ur s..."Ooops later!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom