Aaah! Viti vimechakaa kama chama cha mapinduzi!!

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
Jamani Jana nilikuwa safarini kwa Basi dogo, natoka Rufiji kuja Dar es salaam, njiani maeneo ya porini alipanda mzee mmoja ambae ni mwanakijiji wa eneo hilo..alipopanda na kuona viti vya Costa vimechakaa akasita na kusema "AAH! VITI VIMECHAKAA KAMA CHAMA CHA MAPINDUZI" Kweli CCM Imekosa mwelekeo hata porini huko wanaelewa siku hizi.. NAWASILISHA.
 
Ribosome ni kijana mdogo tuu aliyesoma Elimu ya Information Technology Lakini CCM imemchakaza utafikiri Mnywa Gongo au Wanzuki
 
jana kasema kikwete kasababisha wastani wa kuishi uongezeke(50-55)...
kwi! kwi! kwi! Watu wamechakaa wamekuwa kama avatar ya Ritz huku wakiwa bado miaka wana 20 ndio imeongezeka hivyo? au labda anavyokutana na vijana waliochakaa sura baada ya kutudanganya maisha bora kila mtanzania anafikiri wana miaka 55 kumbe hata 15 hawajafikisha
 
Mkuu Az 89 Nipo hapa kwenye hii thread na wasubiri wakina Ritz,Rejao,Rebosome,Mama Porojo na Mafilili lakini hawatii team na mimi sibanduki kwenye hii thread imekaa kimtego lazima waingize mguu
 
Vizee vya CUF huwa vina mizengwe sana huyo babu lazima atakuwa mmoja wao! :happy:
 
Ewe kikwete uliye Magogoni...rudisha institutions zote ulizowapa wageni!
 
kweh! Kweh! Precise Pangolin...Lemutuz anaikumbatia CCM Wakati Nyerere alisema sio mama yake anaweza kuihama!
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani
 
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani

kisukari litakuwa tayari limeshapata, limekuja Tanzania likafikiri siasa bado zile za 2000 kumbe upepo umebadilika!
 
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani

mh!mh sina cha kusema maana nguo yake inaelekea kapewa enzi za uchanguzi sababu enzi hizo kikwete hali kuwa na mwili mkubwa kwahiyo alitumia mwili wake kupima manguo ya misaada.
 
Back
Top Bottom