A word of thanks from my heart

Nyie bwana haya maneno yenu, watu waanze kuhisi unajitabiria kifo bure!

why? nilikuwa nao siku chache zilizopita na ni watu wazuri kweli, very caring and loving we lived as if we knew each other since childhood kumbe tumefahamiana hapa JF tu!!!! I WILL NEVER FORGET THIS!!
 
Achana nae, inamana kweli hajaelewa ulichoandika?... Sante mwaya kwa kutujazia masifa mie na Swahiba Erick!
 
Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...

wewe hujaenda arusha wewe...!
 
Kijana tatizo lenu mnajificha sana... Preta alijua hili na akawa busy sana.....Kaby hapatikani muda mrefu..Lily Flower alilijua pia....
Wewe na akina PJ ndo hamkupatikana mkamwacha kijana mwenyewe......
 
Last edited by a moderator:
Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...

wewe hujaenda arusha wewe...!
Alikuwepo arusha hii hii ya hao uliowataja tena kabla hajakuja aliweka tangazo humu humu chit chat!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom