A Wife is a Wife

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
A Wife is a Wife, no matter who THE HELL you are!
wife-is-a-wife.jpg

Huyo jike anaitwa Yanga au? Mbona Simba kawa mpole next to her?
Weeee......nitakupiga Ban sasa hivi.
Sio kawa mpole, anamshangaa huyo Yanga anachofanya wakati katoka kumshughulikia muda sio mrefu...........
kama vile anawaza............huyu nae hazimuishi tu!! mara hii anataka tena.
 
Usimtetei mkuu... HUyo anaogopa kabisa, he is traumtized. Cheki alivo pandisha mguu anaogopa usivunjwe. lol , the same way wajina wake hua anatishwa na YANGA... hahahahaha
 
Usimtetei mkuu... HUyo anaogopa kabisa, he is traumtized. Cheki alivo pandisha mguu anaogopa usivunjwe. lol , the same way wajina wake hua anatishwa na YANGA... hahahahaha
Just the way we treat you...........Unanyamaz kimya, unapewa vidonge vyako, unajifanya mnyenyekevu...........Then unamwambia nasikia njaa, na anaenda kukutengenezea he best food in the world.

Duh! mi ngoja niendelee kumpenda huyu better halfkwangu bana!!
 
thanks biggy.... That is the best way to be a man, let her talk, and on friday... You also ask for a few drinks with a sorry ass look
 
Hahaha! I lov the 'sorry a*s' look. That can melt a stony heart,lol!
thanks biggy.... That is the best way to be a man, let her talk, and on friday... You also ask for a few drinks with a sorry ass look
 
Kweli kabisa,manake mwanamke afikie hapo ujue keshabembeleza,keshasema kimapenzian kasema tone ya kawaida na havikuzaa matunda! Bible inasema 'enyi wanaume,kaeni na wake zenu kwa AKILI'. Sijui kwa nini wanashindwa kutumanage na sie ni dhaifu na akili zenyewe chache! Kha!
mmhhh
kama wanaume wangekuwa wanasikiliza
mara ya kwanza .. haya yote yasingetoka lol
 
Kweli kabisa,manake mwanamke afikie hapo ujue keshabembeleza,keshasema kimapenzian kasema tone ya kawaida na havikuzaa matunda! Bible inasema 'enyi wanaume,kaeni na wake zenu kwa AKILI'. Sijui kwa nini wanashindwa kutumanage na sie ni dhaifu na akili zenyewe chache! Kha!

memi.."Jason hunny , naomba unisaidie kusogeza hili kochi"
yeye.. "nakuja , nakuja nipe dakika moja, karibu anafunga goli."

dakika mbili baadaye

mimi .. "sweety nisaidie basi utarudi kuangalia hiyo mechi"
yeye.." ngoja kidogo basi refa amempa red card..."

dakika mbili nyingine baadaye

mimi.. "Hivi kwanini unapenda kunikasirisha, ungenisaidia na sasa ungesha rudi.."
yeye.. "babe please ni Man u , babe Manchester united , ntakusaidia baadaye.."

khaaaaaa
sasa hapo unategemea nini kitafuata...

My dear hapo kwenye red aaahhh mi staki ani manage kabisa..
asje nlitea balaa ndani ya blueee..
 
Ni kama vile jike anasema"Nakwambia ushike adabu yako.......mchezo huo si utaki kabisa! leo hupati............shida ikiwa yako unakuja mbio wakati tangu juzi mie nakulalamikia" na Dume litakuwa lina "Ah sweetie taratibu basi; majirani watasikia! Nisamehe na unione huruma leo kidogo tu!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom