A VISITING HUSBAND: Mungu angenipa wa hivi nisingezeeka kamwe

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,232
7,043
@arusha,baba mngoni,mama mchagga

Nawasalim wana JF

Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme na mke ndiyo matakwa yangu ila kila aliye kwenye ndoa ananitisha kwamba ndoa ndoano.

Sasa ili kuepusha misuguano nataka nimweleze haya:
1.awe anakuja napoishi at my home place mara nne na kulala mara tatu hivi kwa wiki
2.Niwe na uhuru wa kwenda (mimi na watoto wetu) na kulala kwake as long as I want
3.Mwezi wa sita na wa kumi na mbili ahamie/nihamie tuwe pamoja mwezi mzima

My take:Hakika naamini akikubaliana na mimi kwa haya matatu haitatokea kununiana hata siku mmoja as long as every second we will be missing each other
Mtaani/kazini /kanisani wote wawe wanajua mimi ni mke wa flani na yeye ajulikane kuwa ni mme wa marytina
 
Mary tina you are so down to earth... Dah! Wanaume wako wanabahati saana yaonekana Upo so appreciative na sio a demanding person...
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga

Nawasalim wana JF

Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme na mke ndiyo matakwa yangu ila kila aliye kwenye ndoa ananitisha kwamba ndoa ndoano.

Sasa ili kuepusha misuguano nataka nimweleze haya:
1.awe anakuja napoishi at my home place mara nne na kulala mara tatu hivi kwa wiki
2.Niwe na uhuru wa kwenda (mimi na watoto wetu) na kulala kwake as long as I want
3.Mwezi wa sita na wa kumi na mbili ahamie/nihamie tuwe pamoja mwezi mzima

My take:Hakika naamini akikubaliana na mimi kwa haya matatu haitatokea kununiana hata siku mmoja as long as every second we will be missing each other
Nikikamilisha hayo .........haaaffuuuu nina nyumba ndogo utaelewa........???
 
Mbona sikuelewi unasubiri nini sasa huendi kanisani? atatokea mtu mwenye nguvu zake atakupiga bao kiulaini kabisa.Yaani wewe na watoto wenu muwe mnaenda kulala kwake??????????????????????????????SIJAELEWA HAPO
Yaani umzalishie kwao halafu unaenda na kurudi tu basi au ni nyumba ndogo???????OA NA MUISHI PAMOJA SIO KUTEMBELEANA TU.
 
hahahaha the good and bd thing abt life is that humans never realy know how to foresee the cons of a particular situation until it unfonds.......
 
Mary tina you are so down to earth... Dah! Wanaume wako wanabahati saana yaonekana Upo so appreciative na sio a demanding person...
unanisomaga vibaya
mimi sio mtu wa wanaume ni mtu wa mwanaume
unajua always hisia zangu naziweka huru hapa JF
 
mbona sikuelewi unasubiri nini sasa huendi kanisani? Atatokea mtu mwenye nguvu zake atakupiga bao kiulaini kabisa.yaani wewe na watoto wenu muwe mnaenda kulala kwake??????????????????????????????sijaelewa hapo
yaani umzalishie kwao halafu unaenda na kurudi tu basi au ni nyumba ndogo???????oa na muishi pamoja sio kutembeleana tu.
pls rudia kuisoma usipoelewa nitakuelewesha
 
Hakuna kishindikanacho chini ya jua. Watu wana mikataba ya kila aina humu duniani. Jaribu kumualeza anaweza kuelewa.....
 
hahahaha the good and bd thing abt life is that humans never realy know how to foresee the cons of a particular situation until it unfonds.......
mimi nimeforesee kwamba nikiishi naye daily kwa miaka kadhaa kuna siku tutakosana/kwaruzana kwa sababu tutakuwa tumezoeana kupita kiasi
ili kuepuka mazoea yaliyovuka mpaka inabidi awe VISITING HUSBAND hapa naamini ntadumu naye mpaka kufa
 
Hakuna kishindikanacho chini ya jua. Watu wana mikataba ya kila aina humu duniani. Jaribu kumualeza anaweza kuelewa.....
thanks alot
kuna shosti kaniambia jamaa hatanielewa kuwa A VISITING HUSBAND kwa sababu zisizo na mashiko alinikwaza sana
 
Nafikiri ni suala la namna utakavyouza idea yako tu. Ukiweza vizuri kumuonyesha advantages za mkataba huo kwake (pia) naamini at least ataufikiria, na hata kama atakataa hatachukia
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga

Nawasalim wana JF

Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme na mke ndiyo matakwa yangu ila kila aliye kwenye ndoa ananitisha kwamba ndoa ndoano.

Sasa ili kuepusha misuguano nataka nimweleze haya:
1.awe anakuja napoishi at my home place mara nne na kulala mara tatu hivi kwa wiki
2.Niwe na uhuru wa kwenda (mimi na watoto wetu) na kulala kwake as long as I want
3.Mwezi wa sita na wa kumi na mbili ahamie/nihamie tuwe pamoja mwezi mzima

My take:Hakika naamini akikubaliana na mimi kwa haya matatu haitatokea kununiana hata siku mmoja as long as every second we will be missing each other

hapa naona kazi ni moja tu.........................hakuna nyingine.....lol...................kulala na kulalana.........
 
unanisomaga vibaya
mimi sio mtu wa wanaume ni mtu wa mwanaume
unajua always hisia zangu naziweka huru hapa JF

keep this up........it will salvage your life,..............................multiple partners is a sure way of dying young..........
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom