A very touching story, never judge anyone

gfsonwin nakubaliana na wewe sana
hawana uwezo wala sio watu wa hali ya juu ila wana maisha ya kawaida mno ila wana roho ambazo ni nadra kuzipata au kuziona
Wana real love na love lisilouliza malipo
Wana huruma na maisha ya wenzao kuliko hatta ya kwao
Ni ukweli mtupu usemayo huwa hawadumu kwenye maisha haya

hivi Mr Rocky umewah kujua kwanini hawadumu? kama hujui miye nakupa sababu. Mungu huwa anawivu sana hasa pale mwanadamu anapombadili kwa kitu kingine. Mtu wa aina hii watu hufikia kuish wakimtegemea yeye na wengine hudiriki hata kusema yaani huyu ndio kila kitu kwangu. sasa heshima zinapozidi kwake, na kila mtu kumuona kama msaada Mungu huwa anakasirika sana na anasema sifa zimrudie yeye basi sisi wema autendao mtu tunaurudisha sifa kwa mtu badala ya kumpa Mungu. hii ndio maana anakufa ili sasa tuone kama watu wataendelea kumuabudu ama kumwinua yeye akia maiti.
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom