A tricky question!!

Pokola

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
716
177
Wakati wa Ujamaa, Mwalimu Nyerere, pamoja na mambo mengine alisisitiza ubinadamu, na kuheshimiana bila kujali RANGI, dini zetu, itikadi, nasaba, n.k.

Sipendi kukuchosheni kwa maandishi mengi wanaJF. Langu ni swali moja tu:

Kwa nini katika majeshi yetu yote [Ulinzi, Polisi, Magereza, JKT, n.k] hakuna kabisa Wahindi na Waarabu, ambao wanajiita Watanzania kama sisi? Je, jukumu la kuilinda nchi na Usalama wa Raia ni la watu wenye ngozi nyeusi pekee?

Je, hakuna ubaguzi wa rangi Tanzania?
 
wakati ule kukiwa na JKT kwa mujibu wa sheria hivi ni wahindi wangapi walikuwa wanaenda? lakini ukija chuo kikuu hao hapo na vyeti vya jkt!!!11 (most of them they have more than one passport
 
Jamani sijawahi kuona wala kusikia mahindi yenye asili ya maharage... au mpunga wenye asili ya maembe!!! (Pamoja na Teknolojia ya GMO kuwepo) Mpunga ni mpunga... na mahindi ni mahindi!!!! Kwa hiyo kwa upande wangu mimi sikubali na siamini mtu anaposema "mtanzania mwenye asili ya kiasia"..... no way!!! Hao ni wageni na wataendelea kuwa wageni kama mnavyothibitisha wenyewe. To me they are nothing but gold diggers!!!!... Hawana uchungu hata kidogo na nchi hii. Na ndo maana kila uchaguzi.... utawaona wanakimbilia Canada, uingereza n.k.
 
Kwenye maofisi ya serikali na taasisi nyingine za umma unawaona? Hawa wana mfumo wao wa maisha na ajira. Wao, msisitizo ni kujiajiri na kuajiriana wao kwa wao kwanza. Siku zote wanaishi mguu mmoja ndani mwingine nje. Wana mitandao ya uhakika kote duniani. Kwa ujumla hawa jamaa ni wakabila, wadini na wasiri sana. Ukumbuke pia tuliwanyang'anya( taifisha) mali zao nyingi sana baada ya Azimio la Arusha. Wakati tunaanzisha vijiji vya ujamaa tukawatesa tena. Kule Uganda, Idd Amin aliwafukuza kabisa.
Wanatujua udhaifu wetu pia ngozi nyeusi. Chochote wanachokitaka kwenye ofisi hizi za UMMA wanakipata tena kwa ziada.
 
Wakati wa Ujamaa, Mwalimu Nyerere, pamoja na mambo mengine alisisitiza ubinadamu, na kuheshimiana bila kujali RANGI, dini zetu, itikadi, nasaba, n.k.

Sipendi kukuchosheni kwa maandishi mengi wanaJF. Langu ni swali moja tu:

Kwa nini katika majeshi yetu yote [Ulinzi, Polisi, Magereza, JKT, n.k] hakuna kabisa Wahindi na Waarabu, ambao wanajiita Watanzania kama sisi? Je, jukumu la kuilinda nchi na Usalama wa Raia ni la watu wenye ngozi nyeusi pekee?

Je, hakuna ubaguzi wa rangi Tanzania?

another tricky question (inner loop):

ni sahihi Wahindi kuchangia damu kwa watu weusi? Kinyume chake inaruhusiwa?

nauliza tu hata kama mtaniona mimi mwehu au mbaguzi. (kwanza mi siyo docta kwa hiyo atakayenipiga madongo atakuwa anapiga ngumi ukuta.)

niliona jana kwenye tivii
 
mkuu... wahindi hata soccer iliwashinda sembuse kwata..! lol
 
another tricky question (inner loop):

ni sahihi Wahindi kuchangia damu kwa watu weusi? Kinyume chake inaruhusiwa?

nauliza tu hata kama mtaniona mimi mwehu au mbaguzi. (kwanza mi siyo docta kwa hiyo atakayenipiga madongo atakuwa anapiga ngumi ukuta.)

niliona jana kwenye tivii

Duh.....
 
Halafu wanatuita sisi GOLO, lakini viongozi wetu wanasema tusiwabague, namkumbuka sana Idd Amin kwa kuwafukuza hawa washenzi, pamoja na udikteta wake katika hili alikuwa sahihi.Nawachukia saaana wahindi kwa sababu nao wanatuchukia na kutudharau sisi watu weusi.
 
Kwenye maofisi ya serikali na taasisi nyingine za umma unawaona? Hawa wana mfumo wao wa maisha na ajira. Wao, msisitizo ni kujiajiri na kuajiriana wao kwa wao kwanza. Siku zote wanaishi mguu mmoja ndani mwingine nje. Wana mitandao ya uhakika kote duniani. Kwa ujumla hawa jamaa ni wakabila, wadini na wasiri sana. Ukumbuke pia tuliwanyang'anya( taifisha) mali zao nyingi sana baada ya Azimio la Arusha. Wakati tunaanzisha vijiji vya ujamaa tukawatesa tena. Kule Uganda, Idd Amin aliwafukuza kabisa.
Wanatujua udhaifu wetu pia ngozi nyeusi. Chochote wanachokitaka kwenye ofisi hizi za UMMA wanakipata tena kwa ziada.

Jenerali Ulimwengu alimtania ISSA SHIVJI kwamba ni muhindi.....!!!!
 
Wapo though controlling remotely. Kama JK ndie hypothetically Amiri Jeshi Mkuu na anatawaliwa na RA, basi kimsingi RA ndie Amiri Jeshi Mkuu. Hata usalama wa Taifa uko chini ya RA......
 
another tricky question (inner loop):

ni sahihi Wahindi kuchangia damu kwa watu weusi? Kinyume chake inaruhusiwa?

nauliza tu hata kama mtaniona mimi mwehu au mbaguzi. (kwanza mi siyo docta kwa hiyo atakayenipiga madongo atakuwa anapiga ngumi ukuta.)

niliona jana kwenye tivii
Kipi cha ajabu tena hapa! Kwamba sisi weusi damu yetu ni nyingine? Hauwezi kuzaa na Muhindi au Mwarabu?
 
another tricky question (inner loop):

ni sahihi Wahindi kuchangia damu kwa watu weusi? Kinyume chake inaruhusiwa?

nauliza tu hata kama mtaniona mimi mwehu au mbaguzi. (kwanza mi siyo docta kwa hiyo atakayenipiga madongo atakuwa anapiga ngumi ukuta.)

niliona jana kwenye tivii

Ndiyo ni sahihi
 
Hawa watu wanaishi kwa ushirikiano mkubwa na watawala popote wanapokuwa na ni wanafiki wa hali ya juu. Wanajua bei ya kila kiongozi na wanaishi kwa deal tu. Hawana sababu ya kuingia jeshini wakati wanaweza kuwashika mabosi wa jeshi wakawafanyia chochote wanachotaka.Wanatembeza ngawiratu kufanyikisha mambo yote.
 
Back
Top Bottom