IRAQW MINING
Member
- Apr 18, 2011
- 86
- 6
Welcome all The Big L Bebber shop an Pub,kila mwanajf akifika hapa anipm lazim aondoke na offer.
Welcome all The Big L Bebber shop an Pub,kila mwanajf akifika hapa anipm lazim aondoke na offer hasa siku za weekend.
Kiongozi wetu kumbe upo AtOWN?p jimy ukifika hapa The Big L nipm utaniona niko kwa ofice!
Kiongozi wetu kumbe upo AtOWN?
Du!..mbona wajificha sana mkuu wetu?
Ngoja siku nikipita hapo kwenye nyama za Foil nikutafute!
don worr mkuu. Nitafosi tena safari ya a town nije nikutane na nyie wadau
da kumbe ushafika maimoria soko, karibu sana, maimoria na moshi mji msafi hewa nzuri, ingawa c mkubwa ila utakula mbegeusinichekeshe mkuu. niliulizia viatu a town. Vya mtumba vinaanzia elf 60. Vya dukani elf 85+ . Nilifika Moshi pale Maimoria nikabeba viatu hadi vikakaribia kunishinda. Mkuu ukitaka mahitaji shuka pale. Mavazi (hasa viatu) ni bomba sana
Halafu nyie watu wa Moshi tuna safari ya kuja huko very soon, nadhani mtajiorganize ili tuonane..kuna mambo muhimu ambayo tunahisi mnayakosa...Mtafuteni bwana mmoja anaitwa Eeka Mangi, anajua mpango mzima!da kumbe ushafika maimoria soko, karibu sana, maimoria na moshi mji msafi hewa nzuri, ingawa c mkubwa ila utakula mbege
Mkuu mbona Motown ndio maskani? Huku Bongo tunasaka tu life. Mitaa ya Soweto ndo ilikuwa home. Maimoria tumecheza sana enzi hizo, tangu hakuna lile ghorofa la Papa, hadi limejengwa, hadi limekuwa gofu, yote hayo tunashuhudia. Hadi sasa wameamua kuifanya Maimoria kuwa soko. Unakaa Moshi mitaa gani mkuuda kumbe ushafika maimoria soko, karibu sana, maimoria na moshi mji msafi hewa nzuri, ingawa c mkubwa ila utakula mbege
Ni wk sasa niko Arusha kikazi zaidi. Sikujua jiji hili ni kubwa hivi. Mji mzuri na umejengeka kweli. Dar iko hati hati ya kupigwa chini na jiji la machalii. Club bomba, kuanzia triple A, masai club, babylon, club AQ n.k. Jana nilikuwa aq club. Hali ya hewa bomba. Arusha ni bomba sema tu vitu bei juu sana. Natamani kuwatafuta pj na preta ila muda ni unabana. Karibuni a town
Jihadhari na VISU, watu wa huko visu nje nje. Sijui wote wamasai?
Nimeshawahi pigwa Kisu pale AQ Club kwa sababu ya kijinga sana. Take care na hao jamaa bado washamba sana.
Jihadhari na VISU, watu wa huko visu nje nje. Sijui wote wamasai?
Nimeshawahi pigwa Kisu pale AQ Club kwa sababu ya kijinga sana. Take care na hao jamaa bado washamba sana.
oya machalii wa Atown
mbona hatuonani? Mimi nipo
mitaa ya kijenge chini karibu
na Olorieni.
Mkuu sisi ndiyo tukukaribishe, karibu Arusha ila mtafute mtu anaitwa Sahara Voice kila kitu utapata. Nipi PM nikupe ramani yote ya A - Town mkuu.Ni wk sasa niko Arusha kikazi zaidi. Sikujua jiji hili ni kubwa hivi. Mji mzuri na umejengeka kweli. Dar iko hati hati ya kupigwa chini na jiji la machalii. Club bomba, kuanzia triple A, masai club, babylon, club AQ n.k. Jana nilikuwa aq club. Hali ya hewa bomba. Arusha ni bomba sema tu vitu bei juu sana. Natamani kuwatafuta pj na preta ila muda ni unabana. Karibuni a town
inawezekana ilikuwa kitambo kidogo ulikumbana na hayo. Tuliingia pale club AQ tukasachiwa sana. Jamaa yangu alikuwa na kalam ikabidi aiache nje. Tulienda pia bar moja hapo unga ltd maarufu kwa kuonyesha soka, hali ilikuwa shwari tu. Siku hiyo ilikuwa gem kati ya arsenal na liva. Hali ilikuwa shwari tu ukiacha kelele za kishabiki. Ila sikubishii maana nimekaa hapo a town mda mchache
Dah! Mkuu huko nishatoka. Ila nikija tena huko nitafuata hizi procedureMkuu sisi ndiyo tukukaribishe, karibu Arusha ila mtafute mtu anaitwa Sahara Voice kila kitu utapata. Nipi PM nikupe ramani yote ya A - Town mkuu.
Haswaaaa! Nilisahau jina lake. Pale napo safi sana tu. Machalii wako peace tuhiyo baa iliyokuwa inaonyesha mech itakuwa milano kama cjakosea mazee!