Tatizo huyu kijana mgumu sana kuelewa afu mwepesi sana kusahau..........babu kama umeweza kufanya hayo hongera sana
Ila huyu kijana aliyeleta story hebu mshauri shauri labda anaweza sikia ushauri wa Babu yake akafanya mambo
Naanza na wewe............kijana fuata nyayo zangu.....SAWA?Lol!!! Nilijua hauwezi kuniacha hivi hivi tu
Tatizo huyu kijana mgumu sana kuelewa afu mwepesi sana kusahau..........
Sasa babu unafikiri nitafuata NYAYO za nani tenaNaanza na wewe............kijana fuata nyayo zangu.....SAWA?
Lol!!! Usijali mkuuBabu kwa mashambulizi ya kila siku ataelewa tuu hakuna ujanja maana anajifanya anajua sana ndoa wakati hata wazo hana la kuingia humo
Au bado anachagua tuu hajapata
Wazo analo, tatizo hajajua amuoe yupi kati ya wale wanafunzi watatu, mahausigelo wawili, mabaamedi watano na wachumba wa watu wawili. Hiyo weka kando wale wachumba wanne aliowapiga chini baada ya mahari kumshinda, na wale mama ntilie wawili aliokataa mimba zao.Babu kwa mashambulizi ya kila siku ataelewa tuu hakuna ujanja maana anajifanya anajua sana ndoa wakati hata wazo hana la kuingia humo
Au bado anachagua tuu hajapata
Wazo analo, tatizo hajajua amuoe yupi kati ya wale wanafunzi watatu, mahausigelo wawili, mabaamedi watano na wachumba wa watu wawili. Hiyo weka kando wale wachumba wanne aliowapiga chini baada ya mahari kumshinda, na wale mama ntilie wawili aliokataa mimba zao.
Lol!!! Usijali mkuu
Wazo analo, tatizo hajajua amuoe yupi kati ya wale wanafunzi watatu, mahausigelo wawili, mabaamedi watano na wachumba wa watu wawili. Hiyo weka kando wale wachumba wanne aliowapiga chini baada ya mahari kumshinda, na wale mama ntilie wawili aliokataa mimba zao.
babu karibu nipate ugonjwa wa moyo hapa
Kweli hapo uchaguzi mgumu maana mpaka apate yule anayemtaka ni issue
Afanye ana anna do ule mchezo wa kuchagua jibu kama ni A au B au C
Babu huwa anaanza vizuri ila mwisho wa siku anaharibu kabisaUmeona dongo la Babu
Yaani nilikuwa nakusifia kumbe mchafuzi kiasi hicho
Naondoa shilingi na sikusifii tena
Yaani nenda kaoge mto Nyakanazi kabisa ukishang'aa uje hapa kuongea
Babu huwa anaanza vizuri ila mwisho wa siku anaharibu kabisa
Hata mimi ya kwake mengine huwa siyasemi lol!!!Ndo kashaharibu hivyo
Na nishajua mambo mengine ya kwako ambayo huwa huyasemi
Hata mimi ya kwake mengine huwa siyasemi lol!!!