Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

Student hostels at UDOM campus
1469610358438.jpg
1469610366126.jpg
1469610378740.jpg
1469610387971.jpg
1469610396900.jpg
1469610410782.jpg
1469610420869.jpg
 
University of Dodoma is a public institution built recently.
The institution allowed more secondary school leavers to join higher education, as well as shrinking the shortage of teachers & other professionals in the country..
Hapa tazama ubunifu wa majengo,
Hapo kwenye red nimepapenda zaidi hata ya architecture wenyewe. Kwani kabla ya hii ni nani alikuwa anaruhusiwa kuingia hizo higher education na ni nini kilitokea ...'kuongeza ukubwa wa magoli'!?
 
Hapo kwenye red nimepapenda zaidi hata ya architecture wenyewe. Kwani kabla ya hii ni nani alikuwa anaruhusiwa kuingia hizo higher education na ni nini kilitokea ...'kuongeza ukubwa wa magoli'!?

Hahaha mkuu sina maana hiyo, unaniwekea maneno kinywani, this isn't a right thread for your arguments!!
 
Naona hukupenda kuona mazuri ya Dar
lazima ujue kuwa
BRT ina majengo yake
Yaani vituo
Huwezi kupost vituo vya BRT ukaacha Mabasi hayo.

Kilimanjaro ferry ina vituo ambavyo ni majengo
Vilevile huwezi kupost Kilimanjaro ferry bila boats zake

Kwakuwa thread sijaanzisha mie
Wacha nikuachie wewe upost

Ajabu hujapost hata kimoja zaidi ya Kubwabwaja kana kwamba Unahisa JF
Mwache amekarili
 
Back
Top Bottom