A simple Test: How do you communicate with your spouse!

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Easy said than done, take a test and evaluate yourself;

1) Unapokuwa na hasira, unawasiliana naye vipi?
2) Anapofanya kitu ambacho hukipendi, ameteleza unamwelezaje? Unamweleza kama mtu mzima/spouse ama kama mtoto mdogo?
3) Mmetofautiana mbele za watu, unafanyaje?
4) Akikupigia/ukimpigia simu mnaongeza kimapenzi au kama askari?
5) Anakupokuwa na matatizo (msiba, kikazi), huwa anamsaidiaje?

Furthermore;

1) Can you go a step forward and accept his weakness as a human being?
2) Do you love him despite his weaknessess?
3) How do you communicate?
4) Do you find/set tiem for your private issues?
5) What is your position in his/her life?
6) e.t.c....
 
akinipigia naongea naye km naongea na askari

akiniuzi nanuna siku 7

akifanya fyongo namfokea km mdog wangu wa mwsho

akiwa na msiba kwao mi siend..mi naelekea salun wakat ye anaenda msiban
 
akinipigia naongea naye km naongea na askari

akiniuzi nanuna siku 7

akifanya fyongo namfokea km mdog wangu wa mwsho

akiwa na msiba kwao mi siend..mi naelekea salun wakat ye anaenda msiban

Yalaaaaaa!!:A S 103:
 
hapo hamna kitu theoretical,
emotions hubadilika kutokana na mazingira....unaweza sema utafanya xyz likikukuta unafanya abc
 
hapo hamna kitu theoretical,
emotions hubadilika kutokana na mazingira....unaweza sema utafanya xyz likikukuta unafanya abc
wale wa kelele utawajua na watafanya vilevile tuwazoeavo, na wale wa kumwaga meza anajulikana akikasirika anamwaga meza, kuna mume wa sister angu inajulikana kabisa akikasirika anavunja thamani zote za sitting room halafu kesho yake analeta mpya
 
What a lovely husband!!!
 
Back
Top Bottom