A Presidents character

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
"Presidency does not change a person (characters) but it reveals who he/ she is." By Michelle Obama. Sasa Rais wetu tunamfahamu vizuri sana kwa sababu ya kuwa Rais, tunayoona anatenda sio kuwa hakuwa hivyo kabla bali inatuonesha jinsi alivyo. Inflation is rising fast like a rocket, national budget deficit is growing, mafisadi are enjoying life, Dowans are winning cases, IPTL is flourishing, he travels a lot and what have you. All these reveals who he is and for who he is. Je, wale waliosema 2010 tuchague a person na sio party walikuwa sahihi? Je, ni vizuri kupata kwanza history ya presidential candidate (from nursery school to ytd by the time of voting) bila kuficha kitu kabla ya kufanya uchaguzi?

Michelle and her husband defines 'success' not money but what someone makes a difference to people. Is JK successful? Has he made any difference so far? Has he kept his promise - better life for every Tanzanian?

is JK the true icon of CCM?

Source:
[video=youtube_share;IVGAI8o5i4o]http://youtu.be/IVGAI8o5i4o[/video]
 
Umechukua maneno ya kumsifia mume Marekani na kuanzisha mjadala Tanzania. Ulitaka Michelle Obama aseme mume wake hafai.
 
Back
Top Bottom