A New Music FYI...

Status
Not open for further replies.
hizo ni zilipendwa tena zinafaa ziwekwe kwenye history.

endelea na ufisadi wako wakati wengine tukiandaa miziki mipya hapa JF kama kawa! mission yako uliyoanza nayo ya "kupambana na mwanakijiji" naona imekushinda na sasa unajaribu kuleta sindimba kwenye ndombolo! msalimie Jiitu Patel!
 
Hapana bado za moto, cause wahusika hawajakamatwa na kupelekwa kunako husika like mahakamani!

festog, huyu analipwa na jiitu patel kusafisha uozo wa serikali na usitegemee kuwa hata hii issue ya ATC kwake ni tatizo! Yeye hapa yuko kwenye mission ila alisahau kuwa MWK is here kupambana na mafisadi kila wanapojitokeza hapa JF
 
sasa si tafsida tena umeiona hii ndio JF REKEBISHA
""""""""""USITUKANE WAKUNGA UZAZI UNGALIPO""""""""""
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom