A New Music FYI...

Status
Not open for further replies.
Jamani muziki unachelewa sasa mpaka tunaanza kupoteza muda na mafisadi kina Dar Es Salaam (memba JF) AKA .... in the process.

Mkjj, weka vitu mkuu!

duh.. naona DJ hajatokea; nimeambiwa CD ilishatumwa tangu jana; labda hajaangilia email yake ngoja nimtafute..
 
Usidhani wamekusahau, we jipeleke hivyo hivyo. Ila nikiri jina lako huku ofisini utadhani sijui nini. Kuna mtu alikuwa anamfukuza nzi ukutani akadai "nzi wa mwanakijiji" LoL. Well wenzako wanasubiri kesho, mkifungiwa tena usilalamike kutakuwa hakuna cha BBC wala CNN.

Asante.

Nenda kampetipeti Richmonduli....ukipanda bangi huwezi kuvuna mchicha.Ulimtetea weeee,sasa yuko wapi?
 
Nasikia DJ ndio amepata habari za CD mida hii alikuwa hayupo studio.. so tusubiri vitu in an hour or so.
 
Yaani nina excitement utafikiri nasubiria kwenye departure lounge ya kule Pasiansi, Mwanza kwa ajili ya kupanda ndege kwa mara ya kwanza.... lol, can't wait!!!
 
Napenda nyimbo, haswa za siasa. Jumuikeni nami, ngoja nitafute cd ya kuwapatia mtakayopenda kuisikiliza!!
 

Bibi Senti 50

Kumbe bado uko arobaini na saba? Kwa taharifa siku hizi tunahitaji Tanzania ya kukimbia Miaka takribani 47 tuliotambaa baada ya kupewa uhuru inatosha.

We Muziki wako wa Ekimenengule utawekewa kwenye Bodi ya CCM, huku usiangalie.

Muziki uko wapi jamani?? Tunateseka kwa kusubiri kwa sana!
 
jr7k9h.jpg
 
Kama nilivyosema jana kuwa nacheza staili zote, sasa nimefikia hata kucheza Mgongo Mgongo naona zimekwisha. Labda naomba nipewe staili ya mwisho.
 
Nasikia DJ ndio amepata habari za CD mida hii alikuwa hayupo studio.. so tusubiri vitu in an hour or so.

MKJJ,"an hour or so" ya saa 10.49 jioni (kwa mida ya hapa) imetufikisha saa 12.50 jioni (local time).Basi angalau tupewe updates.....
 
Nashauri hii thread ihamishiwe kwenye UDAKU

kama mnavyojua sisi wana JF tuko very impatient na kama tumepewa ahadi then zitimizwe
 
Jamani,
Nimerudi kutoka liquor store ya Mkorea na six pack yangu nakuta mambo bado. Kulikoni?
 
Saa 1.52,exactly 3 solid hrs and 3 minutes after ahadi ya CD kuwekwa hewani "in an hour or so"
 
Waheshimiwa, tayari imewekwa kwenye cha kuchezea inasubiriwa kubonyeza "Play" tu. Tatizo ni kuwa Ndugu yetu "invisible" leo hakuonekana kabisa (what an irony!). Hivyo vyanzo muhimu vikasema kwa vile tumesema ni leo basi lazima iwe leo. Hivyo muda mfupi uliopita nakala nyingine ya CD nimeambiwa imeshapitwa "kwenye njia mbadala" na nimecheki na njia hiyo na wamenihakikishia wamepokea; na hivyo kwa sababu kuna tracks karibu 14 (itawachukua weekend nzima au wiki nzima kusikiliza) ndiyo wanajiandaa kuicheza. Ninyi kama mimi nasubiri kwa hamu kwani wamenikatalia hata kudokeza kilichomo humo na ninasubiri hivyo hivyo.

Mvumilivu hula mbivu...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom