a moment of Silence...rest in peace Nate Dogg...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Kwaheri ya kuonana Dwayne Nathaniel...
Ntakukumbuka daima ktk nyimbo ulizoshiriki kama Regulate, next episode, area code, multply, Lay Low, na nyingine nyiiingi.

hakika Dunia imempoteza mfalme wa Chorus...

Kwaheri ya kuonana Nate Dogg
 
Hip-hop star Nate Dogg, 41, has reportedly passed away after suffering from health issues for several years. Long Beach's Press Telegram was first to report the Long Beach native's death.

While no details have been released as to how the smooth singer -- real name Nathaniel Hale -- died, it has been reported he suffered strokes in both 2007 and 2008.

Nate Dogg was a collaborator with hip hop megastars including Eminem and Dr. Dre and he is a founding member of the hip hop group 213 with Snoop Dogg and Warren G
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Mimi mwenyewe nimeshtuka kusikia kifo cha mshikaji REST IN PEACE NATE DOGG najua alifanya kazi nzuri sana na DRE NA SNOOP nakumbuka alikuwa kwenye track ya Dre inaitwa KUSH.
 
duuu inasikitisha sana, ila kuna kipindi nilisikia alipooza....may be ndo kilichomuua
 
Dah! Jamani nalia mie mzee wa chorus amekufa,mungu aiweke roho yake mahali panapostahili,Israel bora ungechukua roho za hawa mafisadi wetu na kumuacha huyu jamaa aendelee kutuburudisha
 
My his soul rest in peace....
Namkumbuka jamaa alivyompaisha 50 Cent kwenye 21 QUESTIONS.....
ametangulia tu wengine tutamfuata
 
Alikuwa anateam vizuri saaaana na Warren G....nyimbo zote walizopiga pamoja walionyesha 'colabo' ambayo bado sijapata ona tena kama wao!

RIP Nate Dogg.
 


Huyu jamaa nilimkubali zaidi kwenye hii nyimbo...R.I.P Nate Dogg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom