Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 113
Umekosea saaana.Unachoshindwa kuelewa au ku obfuscate ni kwamba nikishasema pesa / mali nishacover pesa na asset, regardless ya uchafuchafu mwingine wa shrt term/ long term etc.
Kwa hiyo nionyeshe nilipokosea wapi?
Nikisema pesa na mali za Slim ni $ 53.5 billion unaweza kunisahihisha? Basically ndicho unachojaribu kufanya.
1.Pesa zipo ndani ya mali. Kwahiyo huna haja ya kurudiarudia neno.
2. Km mali ndiyo assets, then networth ya Slim ni more than $53.5 billion. Kwasababu hiyo 53.5 imepatikana baada ya kusubtract liabilities from mali (assets). Naomba tuelewane mali ni assets na networth si assets peke yake. By the way inatosha tulipofikia.