A message i dont understand

Eliah

Member
Jun 8, 2009
32
0
JF's there is a message that comes from my computer saying "There is no disk in the Drive,please insert a disk into drive \device\Harddisk1\DR3" the time i try to cancel it comes back pliz help me out! kitumbua angu iko kuloa.
 
Ukiwa unaelezea tatizo ni vizuri ujue wanasoma wako remote. Mfan hujasema model yako ya pc, Hujasema unatumia OS gani. Kwa hiyo watu watakupa majibu kwa ku assume.
  • May be kuna appplication ya CD au DVD au USB ina startup automatically. Unaweza kutumia Task manager kucheki ni service gani isyoeleweka ina start automaticaly ili ui Kill. Unaweza ku click run then type msconfig then kwenye button ya startup angalia kama kuna unsual stuff( I asume uko advanced na unatumia Windows XP)
  • Inawezekana pia ni virus so scan mashine yako la updated antivirus.
  • Wakati unasubiri ushauri kutoka jf unaweza ku google hiyo error na kusoma baadhi ya solution
 
Back
Top Bottom