A married man is granted the opportunity to have an affair by his wife

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
Kumekuwapo na misuguano mingi katika ndoa nyingi hapa kwetu Tz na sehemu nyingine za dunia hii swali ni Je kupeana likizo kwenye ndoa mfano kila mwaka mnakuwa na mwezi mmoja au wiki ya kuishi maisha ya single (freedom kama hana ndoa) inaweza kuwa na manufaa?
mkipata wasaa jaribuni kuangalia Hall pass 2011.
 
Ikiwa wote wawili mume na mke wanakubali kufanya hivi, nafikiri wanaweza kuwa na faida kupeana uhuru zaidi. Though, mimi binafsi sitaweza. Kama ningempa mume wangu "likizo", lazima hisia ya wivu wangeibuka.
 
hii ni bomba sana, kuonana hamna hata kupigiana simu hamna....mbali na habibty wako mkimaliza likizo mapenzi nadhani yataongezeka.
kuishi na mwanamke ni sawa na kuwa masomoni, bila likizo utapasuka kichwa na utafeli mitihani tu...
 
Back
Top Bottom