"A man should provide for his wife. PERIOD"

kwenye shiada na raha, uzima na ugonjwa.....
Raha ya wawili kusaidiana kuprovaidi kwa kweli!
Sasa ukilipata 'liswahili swahili' ukilisaidia kesho pakitokea la kutokea utaskia...mwanamke jeuri sana ww ni kwa sababu ya huto tusenti twako...?
Ndo maana mnaachwa mmenyeke hadi mtie akili!
 
Sijawahi ona mwanaume anayeridhika na kutawaliwa na mke labda awe na matatizo ndo maana kuna wakati wanatumia nguvu za ziada kuonyesha mamlaka yao,wameumbwa viongozi/vichwa vya nyumba na ndivo inavopasa kuwa.

...kutawaliwa na mke maana yake nini?

Babu wa loliondo.........sorry DC, naomba kukuuliza! Sawa ikatokea umeoa mdada mwenye kipato cha chini na ya Mungu mengi cheo kikapanda na kipato kikaongezeka mpaka akakuzidi, utafanyaje?

Mimi nadhani swala la msingi ni kwamba, wanaume wasibweteke simply bcoz mama anakipato kikubwa, na yeye akatulia tu asifanye chochote. Kipato chake kikubwa kisikufanye wewe kubadili majukumu yako........afta all ndoa haijengwi na vipato bali upendo wa dhati. Tumia kipato chako ulicho nacho, fanya kazi kwa bidii ukijua unamajukumu na mwisho wa siku mama hatakuacha uabike kwa kukupa sapoti yake yote na mwisho wa siku familia inakuwa nzuri, yenye upendo na amani na bila majirani kujua tofauti ya vipato vyenu.

...penye red ndio kila kitu, unless wanandoa walioana kwa kigezo cha kipato.

Ingawa umeanza kwa kumtukana babu...ila nitachukulia kuwa ni utani wa wajukuu!!

Kuna tofauti kati ya kuoa mwanamke mwenye pesa nyingi kumzidi mwanamume na couple ambayo mambo yanabadilika wakati wako kwenye ndoa. Ikitokea hiyo ya pili, watakuwa tayari wameshaweka mfumo ambao utaweza kuwaongoza bila kushusha komfo (confidence) ya mwanamume. Suala la tofauti kati ya mume na mke ni nyeti sana. Mifano ipo mingi sana inayoonesha jinsi ambavyo wanaume wenye uwezo mdogo wanavyogeuka kuwa wa hovyo au aggressive ili kulipia huo upungufu wako!

Bado naamini niliyoyataja kwa 1000%.

Babu DC!

...penye Red pana ukweli. Lakini tafsiri hiyo ukiipindua chini juu, inasomeka "wanaume wengi wenye uwezo huwa hovyo au aggressive kumnyanyasia mwanamke!"

Pesa (badala ya Upendo) ikishawekwa mbele iongoze mapenzi/ndoa, manyanyaso yatajitokeza tu.
kunyanyapaa kwa maneno ya "Nyumba yangu,!"" gari yangu,!"" pesa yangu,!" yangu...yangu,..yangu huanzia hapo
 
kwenye shiada na raha, uzima na ugonjwa.....
Raha ya wawili kusaidiana kuprovaidi kwa kweli!
Sasa ukilipata 'liswahili swahili' ukilisaidia kesho pakitokea la kutokea utaskia...mwanamke jeuri sana ww ni kwa sababu ya huto tusenti twako...?
Ndo maana mnaachwa mmenyeke hadi mtie akili!

missing u...
 
Karibu tena mdogo wangu.....!!

Ndo maana sisi (tunaodumisha mila) hatuoni shida ku-provide everything...Ila pia ujue inatupa mamlaka ya kuendelea kutawala hata kama ni kwa mwendo wa Magamba magamba!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...kutawaliwa na mke maana yake nini?

...penye red ndio kila kitu, unless wanandoa walioana kwa kigezo cha kipato.

...penye Red pana ukweli. Lakini tafsiri hiyo ukiipindua chini juu, inasomeka "wanaume wengi wenye uwezo huwa hovyo au aggressive kumnyanyasia mwanamke!"

Pesa
(badala ya Upendo) ikishawekwa mbele iongoze mapenzi/ndoa, manyanyaso yatajitokeza tu.
kunyanyapaa kwa maneno ya "Nyumba yangu,!"" gari yangu,!"" pesa yangu,!" yangu...yangu,..yangu huanzia hapo

Mkuu,

Unajuwa kuwa neno upendo kwa wanaume ni msamiati ambao wengine wanakufa bila kuuelewa?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Amelaaniwa asiyewatunza wa nyumbani kwake,mwanaume atakula kwa jasho na mwanamama atazaa kwa uchungu na wivu utakuwa juu ya mume wake-tuna agizo hapa...kuzaa nayo ni 'shughuli' tena ya kufa na kupona; kumbe mwanamama ana kazi tena ngumu yenye kusabilia maisha yake na ya hiyari...leo wapo wanamama wenye uwezo mkubwa na pengine ni waheshimiwa..,shurti wauvue huo uheshimiwa ili wamillikiwe
 
Karibu tena mdogo wangu.....!!

Ndo maana sisi (tunaodumisha mila) hatuoni shida ku-provide everything...Ila pia ujue inatupa mamlaka ya kuendelea kutawala hata kama ni kwa mwendo wa Magamba magamba!!!

...Okey, ...hapo mimi ndipo ninapofeli.

Siku zote nachukulia ndoa ni Upendo, masikilizano na makubaliano.
Nachukulia ndoa as a Participative- Union based on Laissez Faire partnership rather than
being Autocratic/Authoritarian.

Naamini Life Experience yangu imeni shape hivyo. Tatizo ni kumpata mwenza ambaye
naye ataweza tambua hilo. Ndoa ni challenging institution, inabidi kuji adapt haraka haraka
ingawa naona shida sana kuacha Moral Values zangu.
 
Amelaaniwa asiyewatunza wa nyumbani kwake,mwanaume atakula kwa jasho na mwanamama atazaa kwa uchungu na wivu utakuwa juu ya mume wake-tuna agizo hapa...kuzaa nayo ni 'shughuli' tena ya kufa na kupona; kumbe mwanamama ana kazi tena ngumu yenye kusabilia maisha yake na ya hiyari...leo wapo wanamama wenye uwezo mkubwa na pengine ni waheshimiwa..,shurti wauvue huo uheshimiwa ili wamillikiwe

Inabidi ili watunzwe vizuri.
Nitamtunza vipi mtu ambaye muda wote amechoshwa na kazi za ofisini.??
Mwanamke anayestahili kutunzwa ni yule anayebai nyumbani kuhudumia familia.
 
hivi mapenzi ni nini, na ndoa ni nini, mbona wanawake wenzangu mna element za utegemezi jamani, yaani pesa yako ni yako peke yako, ya mwenzio ya wote,halafu unasema unampenda, hivi kwenye mapenzi kuna mtu anatakiwa amgharimie mwenzie au sijui maana ya mapenzi

Kate karibu mpenzi, taratibu basi maana unashutumu lol.
Ni kweli usemayo mpenzi kuwa UPENDO utawale zaidi kitu ambacho sidhani kama kinapingwa na yeyote humu. Lakini kuna vitu kama mila na tamaduni ambazo bahati mbaya nyingi tunaendelea kuzikumbatia hata kama hazina tija..........mie wakati nasoma makala hiyo nilijiuliza swali kama lako........Hivi na uzee huu, ninaelewa maana ya mapenzi kweli? ........... hata kama nina kipato kumzidi mume, yeye bado ni kichwa cha nyumba, na lazima aheshimiwe, athaminiwe na kupewa haki yake. Lakini pale ataposhindwa kwa makusudi kabisa kukitetea cheo chake, ni wazi kuwa atanidisappoint sana na nitamweleza hilo alifahamu. Cheo hiki hata hivyo hakimaanishi mie nimtegemee kila kitu!

Sasa wapo wakaka/baba ambao mke akijitolea kuprovide yeye anakuja juu; lakini kuna mwingine akiona mama kajitolea basi naye anaacha kabisa kuprovide. Blessed are those waliopata waume/wake waelewa!
 
Mkuu,

Unajuwa kuwa neno upendo kwa wanaume ni msamiati ambao wengine wanakufa bila kuuelewa?

...Nakubaliana nawe kuna mengi yanayoweza pelekea hali hiyo ikiwamo malezi, na kupelekea
("monster") Mwenye mapungufu makubwa kwenye uwezo wa akili yake kutambua/kutafsiri hisia za watu wengine.
 
...Okey, ...hapo mimi ndipo ninapofeli.

Siku zote nachukulia ndoa ni Upendo, masikilizano na makubaliano.
Nachukulia ndoa as a Participative- Union based on Laissez Faire partnership rather than
being Autocratic/Authoritarian.

Naamini Life Experience yangu imeni shape hivyo. Tatizo ni kumpata mwenza ambaye
naye ataweza tambua hilo. Ndoa ni challenging institution, inabidi kuji adapt haraka haraka
ingawa naona shida sana kuacha Moral Values zangu.

Umeiweka sawa Mbu, na huo ni mtazamo wa wengi until you step inside!! Unless kama ulivyoweka hapa umpate mtu mwenye mtazamo kama wako, mwelewa ambaye anaelewa nini mchango wa kipato katika ndoa na ni upi mchango wa upendo pia. Maisha ya ndoa ni kupendana, kushirikiana, kusikilizana, kuelewana, kuheshimiana na zaidi ya hayo kuwa marafiki.

Hapo kwenye Blue mydia ninaomba ufafanuzi!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Okey, ...hapo mimi ndipo ninapofeli.

Siku zote nachukulia ndoa ni Upendo, masikilizano na makubaliano.
Nachukulia ndoa as a
Participative- Union based on Laissez Faire partnership rather than
being Autocratic/Authoritarian.

Naamini Life Experience yangu imeni shape hivyo. Tatizo ni kumpata mwenza ambaye
naye ataweza tambua hilo. Ndoa ni challenging institution, inabidi kuji adapt haraka haraka
ingawa naona shida sana kuacha Moral Values zangu.

Yaani ndoa iwe kama kuku wa kienyeji....ajua atoke saa ngapi na arudi saa ngapi? Thubutu!

Hata hivyo umemalizia vizuri tu kwa kuelewa kuwa hata kama wewe una utashi wako, ila katika ndoa lazima mambo yako na ya mwenzio yaunganishe! Hilo ndilo segere linalowatesa wenzio pamoja na ndevu zao!
 
Kate karibu mpenzi, taratibu basi maana unashutumu lol.
Ni kweli usemayo mpenzi kuwa UPENDO utawale zaidi kitu ambacho sidhani kama kinapingwa na yeyote humu. Lakini kuna vitu kama mila na tamaduni ambazo bahati mbaya nyingi tunaendelea kuzikumbatia hata kama hazina tija..........mie wakati nasoma makala hiyo nilijiuliza swali kama lako........Hivi na uzee huu, ninaelewa maana ya mapenzi kweli? ........... hata kama nina kipato kumzidi mume, yeye bado ni kichwa cha nyumba, na lazima aheshimiwe, athaminiwe na kupewa haki yake. Lakini pale ataposhindwa kwa makusudi kabisa kukitetea cheo chake, ni wazi kuwa atanidisappoint sana na nitamweleza hilo alifahamu. Cheo hiki hata hivyo hakimaanishi mie nimtegemee kila kitu!

Sasa wapo wakaka/baba ambao mke akijitolea kuprovide yeye anakuja juu; lakini kuna mwingine akiona mama kajitolea basi naye anaacha kabisa kuprovide. Blessed are those waliopata waume/wake waelewa!

Bahati nzuri wanaume wa namna hiyo tupo...Wewe unaweza kuwa shahidi wa bibi yako!!

Jamani ndoa ziacheni tu zilivyo...Ni Mungu tu anyejua kizungumkuti kinachoendelea ndani ya hizo taasis!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mzee mwenzangu vipi? Yaani hadi leo bado hujawajua hawa wadogo zetu kutoka sayari nyingine?

Kuhusu hilo (red), soma ushauri huu murua (post # 106) kutoka kwa mdau mwenzao....!

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/153487-mwanamke-mzuri-6.html#post2209237

Mzee mwenzagu.........Nimeona niilete ilie yziful posti hapa waisome dada/mama zetu hapa..... wajue kabisa kama ilivyo ku-provide ni kazi yetu, basi na kudumisha mila pia ni jadi yetu.....

Hili hapa chini ni bandiko la Ballerina, member wa kike wa JF anayeujua ukweli na kuusimamia

Mi ninavyofahamu ni kwamba kwenye suala la sex na uaminifu kuna tofauti kubwa sana kati ya wanawake na wanaume kwa vile tunavyochukulia mambo;

Wanaume wanachukulia hivi
1. Akiwa na mwanamke,mke awe mwaminifu kwake kwa kuwa kimaumbile si mtu wa kuonja sex na kusahau/kumsahau muhusika
........inaaminika kwamba wanawake hufanya sex kwa hisia(mpaka amfeel mwanaume).............na si kwa kumtamani tu kama ilivyo kwa wanaume.

2. Katika tendo lenyewe la sex,ni mwanaume huwa anam.............mwanamke.................hivyo mwanaume huumizwa sana anapoanza kufikiria jinsi ambavyo huyo mwanume mwingine amem.................mkewe,ndio mana mwanamke akicheat kusamehewa ni issue!

3. Wanaume wanaamini wao hata wakicheat inakuwa imetokea tu,na mara nyingi wanasahau hata majina ya wahusika baada ya kumaliza kiu yao......................hawaweki akilini kwenye yaliyotokea................

Mtazamo wangu
Kuna baadhi ya ukweli mwingine unauma lakini wanawake lazima tuukubali kwani hatuwezi kuubadilisha!...........................

Simaanishi nawatetea wanaume.................ila hii ni common weakness ambayo wanaume wote wameumbwa nayo.....kwa wale wanaotaka kuingia kwenye ndoa..............waingie wakijua mwanaume kuonja nje...........wameumbiwa,
......................chamsingi................hes hima iwepo(na heshima ikiwepo kamwe hutajua kama anacheat/aliwahi kucheat)

Wanawake tuwaamini wenza wetu ila tusiwaache huru sana....................(kumbuka weakness yao)........wakati mwingine kwa kumbana atajikuta ameahirisha safari aliyokuwa anaenda kum............mwanamke mwingine................................tena anaweza kushukuru kimoyomoyo
.........ila tusiwabane sana ili na majukumu mengine yaendelee

Na nyie wanaume.......
Wapendeni wake zenu,waheshimuni,watunzeni,wawekeni mbele ya wengine wote yaani wajione ni malkia katika ulimwengu huu..........................MALIPO YAKE.......................mwanaume hutakaa ujutie kumuoa uliyemuoa!

  • Haya..............................Wote semeni Amina!
    Babu anarudi kitandani
 
...mimi maswali yangu manne iwapo mwanaume anastahiki ku 'provide for his wife'

1. kwa kiwango gani?...kwa kila kitu? au kwa yaliyo makuu i.e Nyumba, Chakula, Mavazi, na Matibabu.
2. kwa muda gani? mume akiwa mzima au ugonjwa, mume akiwa kijana au mzee
3. mwanamke abakie (full-time) mama wa nyumbani? ...kwakuwa pesa yake haihitajiki, ruksa alee watoto tu?
4. kipato chake (mke) kitafsiriwe vipi?

...nachelea tafsiri ya maamuzi haya 'compared' na mila, desturi na tamaduni za makabila/utaifa.
Kwetu 'Mwambao' yanawezekana sana haya. Mke anashinda ndani kulea watoto, kujifukiza udi nk...
'Unyamwezini' mume na mke wote wanapiga matuta!...Sijui kule kwa 'Wakurya' kukoje...!

......Haya maswali ni ya msingi sana ambayo nadhani watu wa mambo ya sosho wanatakiwa kuyafanyia utafiti sasa kwa sababu ukichukulia hali halisi ya maisha ya sasa, hii tradition ya baba/mume kuwa provider wa familia sometimes haihold water kwa kweli na pengine ndio maana wanawake wengine tunakuwa na kiburi cha .......eh we si ndo mume, utajiju! Lazima utuhudumie,....hata kama mwanadada huyo anayo kazi nzuri au kiupatu chake kizito.!!

Lakini pia inawezaikatoa kitu kama simulation ya kinachowezatokea mbeleni kwa baadhi ya watu! Najaribu kufikiria kuwa kuna wanaume ambao wao wanatimiza mahitaji ya familia zao si kwa upendo bali kwa kuwa amekuzwa na kulelewa akiamini kuwa ili awe mwanaume aliyekamilika kwenye jamii basi ahakikishe wanae/familia yake anaiprovidia...............mfano mbaba ambaye yeye akija nyumbani anamwaga pesa hapo.....za kutosha tu, atachungulia fridge, freezer kila sehemu atajazia palipopungua kisha huyoooooooooooo kwenye starehe zake au ofisin!!! buzy, buzy, buzy
Sasa kwa mwanaume kama huyu siku akiambiwa kigezo cha kuprovide kimetolewa kwenye qualifications za uanaume kamili...kweli ataprovide??
 
Karibu tena mdogo wangu.....!!Ndo maana sisi (tunaodumisha mila) hatuoni shida ku-provide everything...Ila pia ujue inatupa mamlaka ya kuendelea kutawala hata kama ni kwa mwendo wa Magamba magamba!!!
Wee kaka mkubwa wewe! Hivi tatizo liko wapi? Kuonesha uanamme wako ni lazima umtawale katika jina la kuwa wewe ndio unayeprovide?One cant be a man enough mpaka amtawale mkewe? Hii ndio inayopelekea hata wanawake wanaoprovide na wao kuamua kuwatawala waume zao!Upo wapi upendo wa ndoa sasa?
 
" Mwanaume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa" kwa maana hiyo mwanaume shurti amtumze mkewe na familia yake, ni wajibu wenu kina baba kutunza familia yenu, kina mama tutabaki kusaidia tu pale palipopungua.
 
Umeiweka sawa Mbu, na huo ni mtazamo wa wengi until you step inside!! Unless kama ulivyoweka hapa umpate mtu mwenye mtazamo kama wako, mwelewa ambaye anaelewa nini mchango wa kipato katika ndoa na ni upi mchango wa upendo pia. Maisha ya ndoa ni kupendana, kushirikiana, kusikilizana, kuelewana, kuheshimiana na zaidi ya hayo kuwa marafiki.

Hapo kwenye Blue mydia ninaomba ufafanuzi!!

Na mimi ndo ninavyojua, maisha ya mapenzi ni kushirikiana, kusikilizana, kuheshimiana, kujaliana tatizo letu wanawake tunapenda tujaliwe sisi tu, kushirikiana hatutaki, eti sio jukumu letu, nadhani mapenzi kwa baadhi ya wanawake yaangalia vitu sana
 
Umeiweka sawa Mbu, na huo ni mtazamo wa wengi until you step inside!! Unless kama ulivyoweka hapa umpate mtu mwenye mtazamo kama wako, mwelewa ambaye anaelewa nini mchango wa kipato katika ndoa na ni upi mchango wa upendo pia. Maisha ya ndoa ni kupendana, kushirikiana, kusikilizana, kuelewana, kuheshimiana na zaidi ya hayo kuwa marafiki.

Hapo kwenye Blue mydia ninaomba ufafanuzi!!

...my beliefs dearest darling,...

Mwanzo wa mapenzi, wengi wetu hufanya kosa la kuficha makucha kwa lengo la kutoonyesha mapungufu/misimamo yetu ili tusiwakwaze wale tunaowapenda. No wonder, baada ya miezi michache ya maisha ya pamoja, kucha zinapoanza kuota
utasikia maneno "zamani hukuwa hivyo!",..."siku hizi umebadilika!" etc...

Nilipoandika
naona shida kuacha moral values zangu, namaanisha inanibidi kuji adapt na moral values za Soulmate wangu
ili masikilizano yaimarishwe ndani ya nyumba. Tatizo ni pale personality zitapoanza ku clash...
mfano; mimi naamini una uhuru wa kujiamulia mambo fulani with the expectation unajua limits ya zuri na baya,
Lakini wewe kwa beliefs zako unaamini hapakuwa kosa kuzidisha uhuru zaidi ya uliopewa.

Iwapo Moral Values zangu zitakuwa compromised, zinanipelekea kwenye uncomfortable territories, jambo linaloniachia
machungu na maswali mengi kwanini sieleweki. Hoja ya Mkuu DC kuhusu kudumisha mila na desturi ili kuendelea kuwa mtawala, nimeichukulia kwamba inabidi nami nibadili hata kidogo mfumo wa maamuzi. Inabidi niwe muwazi zaidi nipate kueleweka nini ninachopenda, na nini nisichokipenda, na Consequenses zake ili mwenzangu nae aelewe.
 
Back
Top Bottom