A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

Mahimbo hata kama mie Pengo hapati chochote, tena na tena naonya kama wewe ni dada ake Mahimbo kamshauri kaka ako aachane na mambo ya Kugombanisha mahusiano ya watu, yeye hapendwi basi...
 
Hueleweki,
Slaa kaleta matatizo kwenye ndoa ya mahimbo,
Then unataja matatizo tena ya watoto (wa slaa).
Yaani hujui hata tatizo liko wapi!!!

Wewe ndio huelewi Mahimbo kazaa na Josephine watoto wawili, mtoto wao mmoja anaitwa Pendo ndio alimshtua baba yake alimwambia kuwa mama anakaa na Dady mkubwa...
 
Naona mate yanakutoka wewe hacha haki ichukue mkondo wake:shetani:
Hivi wewe U Dr wako kama wa MAjimafupi vile maana achilia just user's name tuu ulotumia kama Dr, go to school dear to learn even A E I O U...is just logical achilia sheria, mwanamke au mwanaume akiachwa for at least three years am not sure but for them lawyers know this, ana haki ku file a divorse hata kama haupo, the same thing applied ukikaa na mwanamke au mwanaume zaidi ya miaka mitatu hii sina nayo uhakika kuna haki ya kuitwa mke na mme.......So wewe Dr wa JF tumia kichwa kufikiri na sio makalio...
 
Mahimbo huyu naona kama muislam na ndoa yao ilikuwa ya aina gani ? Walifunga kwa shekhe au kwa Pengo ? Tangia lini ndoa ya kiislam ilikuwa ndoa ?

Mahimbo kafunga ndoa na Josephine Kanisa la KKKT Kijitonyama ni ndoa ya Kikirsto mkuu, sio ndoa ya kislam usiyoipenda.
 
Mkuu usipende ushabiki Slaa kaleta matatizo makubwa kwenye ndoa ya Mahimbo mpaka watoto wawili wake wawili wamekosa malezi bora msipende kutetea ujinga.
We huyo mahimbo unamfahamu vizuri, nenda kule bandarini ukawaulize, au muulize cameroon. Au mko chama kimoja. Ningekuwa mimi Pengo ningemfukuzilia mbali akashitaki kwa Cameroon.
 
Kwa utaratibu wa utawala msonge wa kanisa Mahimbo hawezi kwenda kushitaki kwa kardinali. anaweza kwenda kupeleka kizuizi kwa paroko wa kanisa lililotangaza ndoa. kama akiona vipi ndio ataenda kwa Kardinali. Kuhusu upadre unaweza kuacha na kuruhusiwa kufunga ndoa. Dr Slaa hatakuwa wa kwanza kuacha na kuruhusiwa kuoa.
 
namshauri mr mahimbo kama hana ujanja wa kupata mke
wingine amchumbie rose kamili (mtalaka wa dr slaa) .
 
Huyu mgosi Mahimbo n *****. Kama mwanamke hamtaki anahangaika naye wa nini. Kama ni mkristo ndoa hii imevunjika kwa sababu ya uzinzi. Kama alifunga ndoa ya kanisa basi uzinifu pekee ndio unaoruhusu talaka. Asijidanganye kumchafua mwenzake bure. mgosi mgosingwa nkipewa nnabwenga.
 
Blessing mkuu mada umeielewa.? halafu jitahidi kunyosha kiswahili unakua kama umejifunzia ukubwani hivi.!!!!
 
Last edited by a moderator:
hawa wanataka kugawiana VVU tu si kingine....Slaa ndo huyo. AMadai fidia tu na sio m/mke... walk your way men.
 
Dr.Kupeng'e,

..sasa mwanamke kazaa na jamaa mwingine, what does Mahimbo want?

..hata kama ndoa ya Mahimbo na Josephine ilifungwa ktk Kanisa Katoliki, kitendo cha Josephine kuzaa nje ya ndoa ni ground tosha ya Mahimbo kudai talaka na kupewa.

..what Mahimbo needs is to move on and be free. kwanini aendelee kuwa mtumwa na mfungwa wa ndoa yake na Josephine??
Kanisa katoliki halitoi talaka ila linaruhusu wana ndoa kutengana kwa mda wakitafakari kisha kutubu na kurudiana. Kanisa katoliki linatoa talaka kwa wana ndoa kama kuna ponoia.
Kwa tafsri ya kanisa katoliki ponoia ni wanandoa kugundulika ni wana ndugu wa damu kwa vizazi kuanzia vitatu kurudi chini.
 
Huyu Mahimbo naye anatia aibu sasa wanawake wamejaa chungu nzima unabaki unan'gan'gania mwanamke asiye kupenda tena isitoshe ameshazaa na mwanaume anayempenda, we kama vipi njo kijijini kwetu Madaba huku wanawake wapo wengi utawapatu, jitu zima linan'gan'gania mwanamke haya ndoa isipofungwa huyo mwanamke ndo atakuja kwako? takataka2
 
matatzo yote anayataka huyu mzinzi slaa kamkimbia demu wake rose kamili kamchukua mke wa mtu halaf tumpe uongoz si atakuwa gumegume au kicheche? huyu jamaa hafai kabisaaa kwan anaonekana malaya...hao ndo waliojitokeza wasiojitokeza wapo weng...ampe mwenyewe mkewe yeye akitaka changudoa aende bugurun.
 
Jamani mbona lawama tu mnazielekeza kwa Mahimbo? Mbona huyu beberu(Dr. Slaa) halaumiwi kwa kutaka demu ambaye si wake? Kwani mbona akienda kariakoo kuna vimwana wengi tu anachukua any time na akitaka anaoa hapohapo. mie namshari Slaa atafute kimwana mwingie huyu Josephine ni soooooo..... maana wanamgombea kama sijui nini? Dr. Slaa work your brain men. Wewe kama kiongozi uliyekuwa una nia ya kuliongoza taifa hili inakuwaje jambo hili dogo la mademu linakuchanganya....nchi hii ungeiweza? Achana na Josephine tafuta demu mwingine..... hata kina Mdee wapo bado kupata watu.... we need right judgement and direction.
 
Jamani mbona lawama tu mnazielekeza kwa Mahimbo? Mbona huyu beberu(Dr. Slaa) halaumiwi kwa kutaka demu ambaye si wake? Kwani mbona akienda kariakoo kuna vimwana wengi tu anachukua any time na akitaka anaoa hapohapo. mie namshari Slaa atafute kimwana mwingie huyu Josephine ni soooooo..... maana wanamgombea kama sijui nini? Dr. Slaa work your brain men. Wewe kama kiongozi uliyekuwa una nia ya kuliongoza taifa hili inakuwaje jambo hili dogo la mademu linakuchanganya....nchi hii ungeiweza? Achana na Josephine tafuta demu mwingine..... hata kina Mdee wapo bado kupata watu.... we need right judgement and direction.
 
Huyu Mahimbo naye anatia aibu sasa wanawake wamejaa chungu nzima unabaki unan'gan'gania mwanamke asiye kupenda tena isitoshe ameshazaa na mwanaume anayempenda, we kama vipi njo kijijini kwetu Madaba huku wanawake wapo wengi utawapatu, jitu zima linan'gan'gania mwanamke haya ndoa isipofungwa huyo mwanamke ndo atakuja kwako? takataka2

Nafikiri kama ni mkatoliki haruhusiwi kuoa mwanamke mwingine as long as aliyefunga naye ndoa yupo hai.
 
Mahimbo kafunga ndoa na Josephine Kanisa la KKKT Kijitonyama ni ndoa ya Kikirsto mkuu, sio ndoa ya kislam usiyoipenda.

Ritz,

Unakumbuka jana nilikuambia usikurupuke kuhusu mambo ya Kanisa Katoliki? Sijui utaacha lini kuaibika na hili.

Kanisa Katoliki halitambui ndoa zilizofungwa kwenye makanisa ya waprotestant kama hili la KKKT na wengine.

ndoa inayoweza kutambulika na inahitaji marekebisho kidogo ni zile zilizofungwa kwenye Makanisa tunayoita Eastern Catholics.

Kwa mfano, pale D'Slaam, ukienda Barabara ya Ali Hassan Mwinyi opposite to Red Cross, kuna Kanisa liitwalo Greek Orthodox Church. Hili pia unalikuta pale Musoma unpoingia mjini unapovuka kituo cha Musoma Bus.

Angekuwa amefungia ndoa huo basi wakatoliki tungesema kuwa ndoa hiyo ni ya Wilbrod Slaa itakuwa ni batili (invalid) na asingepewa kwani hayo makanisa tunasema tunatofautiana lakini yana sakrament kwa sababu ya kitu kigumu sana kwako kiitwacho apostolic succession.

KKKT ni Walutheri na Luther alikuja na theory yake. Aliijua hii apostolic succession lakini akaipuuza na hivyo wakatoliki hatuamini kuwemo kwa sakrament kwenye makanisa ya waprotestant.

Vilevile sisi wakatoliki hatuwaiti hawa walutheri yaani KKKT na wenzao kwamba ni makanisa (Church). Hawa sisi tunawaita Christian Communities.

Najua waprotestant humu JF wanaweza kuchukia labda ninakashifu lakini naomba msome website ya Vatican (Clikc Here) ikifafanua maswali kama haya hivi:

**********
FIFTH QUESTION:

Why do the texts of the Council and those of the Magisterium since the Council not use the title of "Church" with regard to those Christian Communities born out of the Reformation of the sixteenth century?

RESPONSE:

According to Catholic doctrine, these Communities do not enjoy apostolic succession in the sacrament of Orders, and are, therefore, deprived of a constitutive element of the Church. These ecclesial Communities which, specifically because of the absence of the sacramental priesthood, have not preserved the genuine and integral substance of the Eucharistic Mystery cannot, according to Catholic doctrine, be called "Churches" in the proper sense


Kwa ufafanuzi huu kutoka Vatican, makanisa yote ambayo ni protestant sisi wakatoliki hatuyatambui kama ni makanisa bali ni vikundi vya wakristo.

Naomba mnaojadili post hii, jihakikishieni wenyewe kwa kusoma website ya Vatican na ninairudia hapa tena(Clikc Here).

Hivyo, mheshimiwa Ritz,

Umetusaidia sana kutueleza kwamba Josephine alifungia ndoa KKKT yaani ndoa ya Kiluteri basi umefunga mjadala huu na kwa maana hiyo bila kujijua umemhalalishia Dr. Slaa na Josephine kufunga ndoa katika kanisa katoliki.


Namalizia kwa kukushauri mara ya tatu. SOma kwanza mambo ya Kanisa Katoliki ili usiumbuke unapojadili mambo ya Kanisa hilo.

BInafsi nilikuwa na mashaka kuhusu ndoa ya kwanza ya Josephine lakini kwa sababu umetaja mwenyewe kuwa alifungia kwenye mkusanyiko ambao nyinyi mnauita Kanisa la KKKT wakati sisi wakatoliki tunafundishwa na Vatican kwamba huo tuuite tu mkusanyiko wa KKKT wala si Kanisa, basi sasa nina uhakika ndoa ya Dr. Slaa na Josephine imo katika ratiba yangu yaani July 21.

Japo sijajua watafungia parokia gani ya Jimbo gani hapa duniani.
 
Back
Top Bottom