Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
- Thread starter
- #21
Ni hiyo ni katika kutafuta uhaueni baada ya mambo kwenda arijojo hasa upande wa serikali.
hii haina uhusiano na mambo ya serikali hapa mihambo anatafuta hiki yake
Ni hiyo ni katika kutafuta uhaueni baada ya mambo kwenda arijojo hasa upande wa serikali.
slaa aliwahi kuoa hapo mwanzo? Alishajitoa upadre ana haki ya kuoa.
Rose kamili aliolewa na slaa? Kama hakuolewa na slaa, na alizaa nae, hawezi kuzuia ndoa, anachoweza kudai ni matunzo ya watoto kama wapo chini ya miaka 18
je huyo josephine aliolewa? Na aliolewa wapi? Kama hakuolewa kanisani, na ndoa yake alofunga popote pale (kama ipo) mradi si kanisani, ilivunjwa?
Kama ilivunjwa yupo huru kuolewa.....
Ila kumbuka katoliki inatambua ndoa iliyofungwa kanisani tu, (kama hakufunga ndoa kanisani, na ndoa hiyo imevunjwa kisheria, josephine anahaki ya kufunga ndoa ya kanisa.....as long as ni mkristo)
huu ndo uelewa wangu, wataalamu waje kuchambua zaidi.....
Mambo mengine mtu anafanya anakuwa anajidhalilisha mwenyewe, wanawake wamejaa kila kona ya nchi hii, kama mtu unaona huyu mmoja anakuzingua unaachana naye unatafuta mwingine.
Hata kama Josephine asipoolewa na Dr. Slaa, mahimbo ana uhakika gani kwamba ndio atarudi kwake??
Kama wewe ni RC utanielewa kabla ya ndoa kufungwa uwa wanaweka matangazo matatu kanisani
kujua kama kuna pingamizi lolote juu ya wale wanaofunga ndoa
Sasa hii itakuwa ndo furusa yenyewe kwa Mihambo kupeleka pingamizi kwa Pengo na kanisa analotaka kufungia
Mahimbo anachotaka ni mkewe tu ndo mana anapeleka pingamizi kwa pengo
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
RC huwa wanatoa furusa kwa mtu yeyote mwenye pingamizi juu ya ndoa zinazotaka kufungwa
Hakuna kitu hapo zaidi ya siasa!
Jamani mbona kama huyu Mahimbo inasemekana alishakuwa ameachana na Josephine miaka miwili kabla Josephine hajaanza mahusiano na Dr Slaa? Na pia ilisemekana kuwa ana mke mwingine na alishazaa nae? Sina tu source but hayo yaliibuliwa mwaka ule wa uchaguzi baada ya jamaa kuja juu na kesi ya madai ya kudhalilishwa na ilikuwa ni sababu mojawapo ya kesi yake ya madai hayo kutokuwa na nguvu.
Too bad sina source ila nikipata nitaileta hapa
Kimbunga habari za siku nyingi,Mkuu DALLAI LAMA mtu akidai haki yake basi anakuwa anatumika? Hii kitu kwa Dr. Slaa inaonekana kuwa janga. Mahimbo anatumika, Rose Kamili anatumika!
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
Mambo mengine mtu anafanya anakuwa anajidhalilisha mwenyewe, wanawake wamejaa kila kona ya nchi hii, kama mtu unaona huyu mmoja anakuzingua unaachana naye unatafuta mwingine.
Hata kama Josephine asipoolewa na Dr. Slaa, mahimbo ana uhakika gani kwamba ndio atarudi kwake??
Walimtumia huyu bwana 2010 but it didnt work, sasa what makes them it this time atafanikiwa? And assume ndoa haifungwi, ndio kusema Josephine atarudi kwake?
Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?