A love dress

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,771
2,544
Baada ya kuolewa binti alitembelewa na mama yake kama baada ya wiki 2 hivi kumjulia hali. Kwa mastaajabu mama akamkuta binti yake akiwa uchi wa nyama. Akahoji kulikoni? Akajibiwa ni love dress ma'. Yakaisha. Alipofika kwake nae katika kumsubiria mzee, akavua nguo zote. Mzee alifika na kupigwa na butwaa. Kulikoni? Akajibiwa ni love dress hani. Mzee akamsawiri kwa muda kisha akamwambia, nadhani ungelinyoosha kwanza. Akatokomea zake ndani
 
ha hahaaaaaaa!! inaelekea huyo bini ngozi ilishaanza kulegeaaaaaa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom