A-List of celebrities in Bongo

Mh its like someone is copying and pasting whatever s/he has been reading bout romantic novels or even movies--- au ni macho yangu
 
.....Kuanzia 0:05 -1:47 so far ni A-lister, siyo Bongo tu!!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=JPE6B2pBBAk"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
A lister anaweza kufikiria mtu aliyekwisha kula na kusaza, sasa ana muda wa kuangalia cable na kununua magazeti ya udaku, katika nchi yenye watu wa aina hiyo wa kutosha kufanya kuwepo a sustainable economy ya hawa manyigu malkia.

Huko kwetu watu mvua hazijanya wanafikiri mihogo itapatikanaje wapate kuchemsha japo na chumvi tu we unataka kuleta habari za A list.

Ndiyo maana watu wanakwambia anaweza kuja Beckham watu wasimjue wala nini, akaonekana mzungu tu sanasana ombaomba watamzonga tu bila kumjua.

Na hata hao watoto wa IST na Masaki wawili watatu watakaomuomba autograph watafanya hivyo kizushi tu, nani ana keep autograph bongo?

Wewe umeona AY watu wametaka kumtwanga huko, naye star waliyelipa hela kumuona.

Watu wana njaa na hasira.
 
macelebrity wa bongo ndio wale mliowaona kwenye ile WHITE PARTY iliyofanyika juzi DSM


Ile party ya juzi haikuwa ya macelebrities, ilikuwa ya ma loosers. Mtu mwenye akili timamu asingeweza kwenda kwenye ujinga kama ule, kukaa na kina mange kimambi ndio ucelebrity? wengi wao ni Deported Ex-Cons from the US......
 
Ile party ya juzi haikuwa ya macelebrities, ilikuwa ya ma loosers. Mtu mwenye akili timamu asingeweza kwenda kwenye ujinga kama ule, kukaa na kina mange kimambi ndio ucelebrity? wengi wao ni Deported Ex-Cons from the US......

Acha wivu, mi nilikuwepo. Waziri Masha naye ni Looser? maana alikuwepo

Kama hukualikwa niambie siku nyingine nikupe Card kaka/dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom